Kwa wale walioko mapenzini na ndoani tu!!!!

Kwa wale walioko mapenzini na ndoani tu!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Kwanza nawapongezeni sana kwa kuweza kuwa pamoja hadi leo,Mungu awasimamieni hadi mfikie ndoa
Kwa wale ambao mko ndoani nawapongezeni sana kwa kuwa ndoani hadi leo pamoja na majaribu na changamoto zinazowakabili kila uchao,msiogope hayo ndio maisha

Lakini pamoja na hayo kuna wale watu ambao wao kila kukicha wanapanga muachane,yaani hawa wao hawaoni raha nyie kuwa pamoja.Kitendo chenu cha kuwa pamoja kinawapa homa sana hawa mabazazi

Leo niko hapa nikiwaambieni kuwa msiwaogope hawa kwani watasema na iko siku wataacha,wala msijali kuhusu maneno yao kwani kusema ni kawaida ya binadamu,watasema usiku watalala

Msijali kabisa kuhusu wasemacho namsidhani kuna ambacho mtakifanya ambacho hawatasema,hivyo hamna haja ya kuwajali kabisa nyie endeleeni mbele hadi kifo kiwatenganishe

Pokeeni wimbo huu kama dedication kwenu na Mungu awatieni nguvu




"They Gonna Talk"

Some things were meant to be
So why not let it be
And stop worrying about it
Long as we know what's in our hearts
We know our inner thoughts, hey
No reason for concern

[Chorus:]
They gonna talk they gonna talk they gonna talk
They gonna say a lot of things about us
You said you know that love is not a sin
But you worry what the people say
When they see me with you
Wonder what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we are in love
Worry what the crowd would say

You pass them on the street yes
Greet you with a smile, hey
As broad as a nile, hoy
They will say all kind of goody goody to you yes
That lingers for a while
All there in your mind
You wanna go you wanna stay
It seems that you can never ever
Make up your mind about it, well
But if you know that love is deep within
Why should you worry what the folks will say

When they see me with you
Worry what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we're in love
Wonder what the people say, oh yeah

Wonder what the people say
When they see me with you
And you wonder what the crowd would say
When they find us together
Worry what the people say
When they know we are in love
And you wonder what the people would say, yeah yeah


Mbarikiwe nyote na mfikie malengo yenu

Much love to you guys ..............!!!!!!!!!!!!!!!! !!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana......

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Eiyer kuna wimbo wa zamani kidogo una maneno haya waache waseme mwisho watachoka .......n.k. Muhimu ni kutowapa rukhusa ya kuyaingilia mahusiano yenu watu wote wa nje ie mbaki 2 tu kwani ndio mlioamua kuishi pamoja.Shida huanza pale mtu anapotoa nafasi kwa wengine ili wamweleze aishi vipi hasa marafiki na wazazi. Ukwazikapo au makwazo yajapo haraka sana rekebisheni na bila kusahau unyenyekevu uwe ndio ngao yenu.

Ikumbukwe kuwa hakuna ajuae kila kitu na kila binadamu hukosea sasa usiogope/kuchukia unapoambiwa umekosea. Kubali kosa na rekebisha.
Asante sana kwa kutukumbusha mkuu Eiyer tupasayo kufanya maana muda wa kuulizia kuhusu mwenza wako ni ule wakati unamfuatilia baada ya hapo hiyo nafasi huwa imekwisha.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeeh....watasemaa watachoka mwisho watalala simuache katu abadan hahahaaha maneno ya taarabu tena lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Eiyer kuna wimbo wa zamani kidogo una maneno haya waache waseme mwisho watachoka .......n.k. Muhimu ni kutowapa rukhusa ya kuyaingilia mahusiano yenu watu wote wa nje ie mbaki 2 tu kwani ndio mlioamua kuishi pamoja.Shida huanza pale mtu anapotoa nafasi kwa wengine ili wamweleze aishi vipi hasa marafiki na wazazi. Ukwazikapo au makwazo yajapo haraka sana rekebisheni na bila kusahau unyenyekevu uwe ndio ngao yenu.

Ikumbukwe kuwa hakuna ajuae kila kitu na kila binadamu hukosea sasa usiogope/kuchukia unapoambiwa umekosea. Kubali kosa na rekebisha.
Asante sana kwa kutukumbusha mkuu Eiyer tupasayo kufanya maana muda wa kuulizia kuhusu mwenza wako ni ule wakati unamfuatilia baada ya hapo hiyo nafasi huwa imekwisha.

Asante sana kwa maneno yako mazuri haya!!
 
Hya mliokuwa mapenzini na wanandoa..... ngoja na mimi nimpate wangu
 
Kwanza nawapongezeni sana kwa kuweza kuwa pamoja hadi leo,Mungu awasimamieni hadi mfikie ndoa
Kwa wale ambao mko ndoani nawapongezeni sana kwa kuwa ndoani hadi leo pamoja na majaribu na changamoto zinazowakabili kila uchao,msiogope hayo ndio maisha

Lakini pamoja na hayo kuna wale watu ambao wao kila kukicha wanapanga muachane,yaani hawa wao hawaoni raha nyie kuwa pamoja.Kitendo chenu cha kuwa pamoja kinawapa homa sana hawa mabazazi

Leo niko hapa nikiwaambieni kuwa msiwaogope hawa kwani watasema na iko siku wataacha,wala msijali kuhusu maneno yao kwani kusema ni kawaida ya binadamu,watasema usiku watalala

Msijali kabisa kuhusu wasemacho namsidhani kuna ambacho mtakifanya ambacho hawatasema,hivyo hamna haja ya kuwajali kabisa nyie endeleeni mbele hadi kifo kiwatenganishe

Pokeeni wimbo huu kama dedication kwenu na Mungu awatieni nguvu




"They Gonna Talk"

Some things were meant to be
So why not let it be
And stop worrying about it
Long as we know what's in our hearts
We know our inner thoughts, hey
No reason for concern

[Chorus:]
They gonna talk they gonna talk they gonna talk
They gonna say a lot of things about us
You said you know that love is not a sin
But you worry what the people say
When they see me with you
Wonder what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we are in love
Worry what the crowd would say

You pass them on the street yes
Greet you with a smile, hey
As broad as a nile, hoy
They will say all kind of goody goody to you yes
That lingers for a while
All there in your mind
You wanna go you wanna stay
It seems that you can never ever
Make up your mind about it, well
But if you know that love is deep within
Why should you worry what the folks will say

When they see me with you
Worry what the crowd would say
When they find us together
Wonder what the people say
When they know we're in love
Wonder what the people say, oh yeah

Wonder what the people say
When they see me with you
And you wonder what the crowd would say
When they find us together
Worry what the people say
When they know we are in love
And you wonder what the people would say, yeah yeah


Mbarikiwe nyote na mfikie malengo yenu

Much love to you guys ..............!!!!!!!!!!!!!!!! !!


asante sana mkuu,tupo tunadumisha maisha ya ndoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom