Natarajia kuoa jumapili hii sasa sijajua pozi gani ni sahihi kwa bwana harusi akiwa ukumbini maana nimejaribu ku google nimekosa nimeshuudia mapozi mbalimbali ya mabwana harusi ukumbini kama...
mimi ni kijana (mwanaume) mwenye umri wa miaka 27, ni graduate, bado sijabahatika kupata ajira...
natafuta rafiki wa kike popote pale ambaye ikiwezekana tuje tukaanze naye maisha kwa baadaye...
Wadau ni shauri kwa hili, Binafsi simuelewi mwenye nyumba wangu (mama mwenye nyumba), siku hizi ameanza tabia ya kuanika kufuli zake karibu na dirisha langu, mbaya zaidi juzi wakati mvua inaanza...
:panda::panda::panda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara...
Ilikuwa majira ya saa kumi jion baada ya kutoka church nilikwenda mahali kukutana na watu fulan kwenye hotel moja Hapa Arusha inaitwa Arusha Tourist Inn kama sijakosea jina tukiwa kwenye...
[B]hi! fellow GT!!
sometimes, somewhere people project their laughs to others only because they see with accordance to relative acceptable norms are beyond adherence...this may be true...BUT also...
Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu...
Ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takribani miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana.
Llakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka...
MAISHA" Ni Magumu Sana Inakubidi Utumie Nguvu Na uweke Malengo Kama MANCHESTER UNITED, Uwe Na Juhudi Kama B/MUNICH, Pia Tumia Akili Kama BARCELONA, Epuka Kukata Tamaa Kama TAIFA STARS, Bali Uwe...
Kwa wale wa Iringa. Jamani naomba kujua habari za Daines Mtawa. Niliishi Iringa 1995 hadi 1998. Daynes alikuwa akiishi Kihesa bombani. Aliwahi kufanya kazi BOT Iringa. Alikuwa akifanya kazi ofisi...
Alinishupalia vilivyo.
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2005, nilikuwa naelekea Mbagala kwenye kiwanda cha kutengeneza kanga na vitenge cha KTM. Nilikuwa ndio kwanza nimefungua biashara ya kuuza kanga...
Asalaamu alekhum waugwana
Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza.
Hofu ni...
habari zenu wana MMU wote mana nikama siku tano cjadhuru humu daaa ila natumai wote wazia kuanzia couples, marafiki, madada na makaka humu,marafiki, mashangazi na wajomba,akina paroko na wasaidizi...
Frankly speaking,uwa natumiaga izi baby wipes kuwafuta baadhi ya wasichana ninaolala nao before and after sexual intercourse,na sababu kubwa ya kufanya ivi ni kutokana naukweli kwamba baadhi ya...
Wadau na wana MMU.
Naomba mnikumbushe majina ya nyimbo hizi na majina ya wasanii walioziimba kwani huwa zinanipa wazimu sana na kunipa wasaa mzuri wa kutabasamu.
1. Una lyric hz:
nakuhitaji...
wana - JF, ktk haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:
Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu...
Kwa wale wanandoa au wapenzi...please kuweni makini na hawa watu ni wabaya sana..mtu kama unaona mahusiano yako hayaendi sawa please kua mvumilivu na umuombe Mungu kila kitu will work...
Bila shaka mko poa wapendwa!
Nafikiri hakuna asieyejua kuwa mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano kwa wapendanao, hasa pale wanapoeza kuchat sku nzima na wakati mwingine kuaminishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.