Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Yer 32:26-27 Imeandikwa
"Tazama mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili. Je kuna neno gani gumu nisiloliweza? Neno hili liondoe kila kilicho kigumu ktk maisha yako, Mungu akutendee miujiza itakayoshangaza wasioamini. Aangushe ngome za maadui zako wote waliokuzunguka. Pia ajibu kila uombalo kwa jina la Yesu Kristo Mungu wa Yakobo anaewanyeshea mvua wema na waovu"
Mungu awa Bariki