Kina Baba /mama kaka / dada eti hii ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina Baba /mama kaka / dada eti hii ni kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, May 5, 2011.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wenu
  Nilikuwa napita ofisi moja nikakuta mada inaendelea ikabidi nivute kitu nipate mawili matatu ,ingawa nimeondoka na swali kichwani.
  Eti long distance mwanaume unapoondoka na kwenda mbali siku zinavyokwenda ndivyo unazidi kumpenda mke /gf wako ...Ingawa unaweza kujikuta umeanzaisha mahusiano na ladies wengine..hiyo si sababu kuwa humpendi wife or GF wako bali ni tamaa za mwili tu ndo zinafanya iwe hivyo?

  Na upande wetu kina mama /kina dada eti siku za mwanzo tunakuwa na penzi zito kwa wenza wetu lakini siku zinavyokwenda ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua?
  Kama hujaolewa unaweza kuanza mahusiano mengine na hatimaye kuolewa na mtu mwingine pasipo kusubiri wakati jamaa yeye anakusubiri?
  Nawasilisha !
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mama wa Kwanza there's some truth in it ingawa sio kwa wanaume/wanawake wote ni baadhi yao tu.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  :A S-confused1:
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hizi assumptions kazi kweli 1st L , Personally naamini mapenzi ya Long distance si mazuri kabisa - for you as a couple to grow and mature ni vizuri mkiwa wote. Na kuhusu the guys wanaume wengi ambao nimeona, akidhubutu kuenda maeneo mbali sana na wewe the wife anagundua unafuu alonao and freedom pia. Haoni shida kukutumia pesa ya kutosha kila mwisho wa mwezi but muendelee kuishi hivyo hivyo kama mke na mume. Ndo pale ikipita muda una tahamaki tayari ana mwanamke na anaishi nae - wewe kuweza kumrudisha inakua kazi. Hawa kaka zetu single atakukumbuka kwa masliano every now and then mpaka ampate wa kumchanganya but si wote...

  Kwa most wadada mwenza anapo kua mbali akiwa ni mume she is secure na bado mapenzi yapo, kama ni galfriend tu - shughuli inakua hapo mana akipata mkaka mwingine ambae ana potential na zimezidi kwa the boyfriend, kumpoteza ni rahisi.... Labda kama relationship iko strong, au hio long distance ni temporary na mda mfupi....
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kila siku huwa nafundisha vijana kuwa "Once and a while" mkiwa kwenye ndoa ni vizuri kutengeneza "distance" - say - mwanaume unatakiwa at least in two months chukua safari ya kukaa nje ya familia yako for at least three days - or - hata mwanamke pia (if possible!).. Unapokuwa mbali na familia yako (kwa wanaume) una-tend kuwa na fikra chanya na za kimaendeleo kuhusu familia yako - equally unakuwa unatengeneza mazingira ya ku-evaluate mahusiano yako na mwenza wako..

  Honestly - day in & day out - sebule ile ile, kitanda kile kile, bajaji ile ile, sahani zile zile, vikombe vile vile, na mwenzi pembeni - inachosa sana akili but uwa tunakuwa wanafiki tu! kwa wale wanaume wanaopata kinywaji angalau "space" inakuwepo, lakini wale wa kutoka nyumbani kazini na kutoka kazini nyumbani mnawapa kero wake zenu - nyie hamjui tu!

  Ni kweli, mwanamke mnavyozidi kuishi wote, the so called "mapenzi" yanazoeleka na siyo kupungua - kwa maana matendo yote yanayotengeneza au yanayotimilisha "mapenzi" yanakuwa ni "routine" - "Appreciation" kutoka kwa mme inakuwa hamna maana hakuna "jipya" and as the result mwanamke anaanza kuona ni "business as usual"... Kufuliwa nguo, kuandaliwa chakula, kukukaribishwa nyumbani, mabusu tele tele, kupigiwa simu mara kwa mara, e.t.c vinakuwa ni vitu visivyokuwa na msisimuko anymore! And therefore kwa kipimo cha kawaida cha mapenzi kunakuwa na "diminishing return"! Mapenzi yamekwisha siku hizi by Banana Zoro...
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Suala la mapenzi kupungua kwa upande wangu naweza sema ni kweli.....nachoka mtu haraka sana hata kama nilimpenda sana mwanzoni....ila kwasababu moja au nyingine uhusiano tu unaendelea,na anaposema anasafiri moyo wangu huwa unasuuzika kwa kuwa nitapata kum miss kidogo which is a good thing.....:bange:
   
 7. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  FL1 mie kwa mtazamo wangu naona kwa wamama/dada ni tofauti kidogo mwanzo mapenzi yanakuwa mazito mno hata siku jamaa anaaga kuwa anasafiri for a year or less ataona dunia imemuangukia jamaa nae ataumia sana atatamani kucancel ticket, wiki mbili zijazo hali itakuwa tofauti baina yao mdada atakuwa karibu sana na simu yake while mkaka atakuwa busy kidogo ofcourse ameenda sehemu ngeni anajipanga, baada ya mwezi mmoja inakuwa tofauti mkaka anakuwa karibu na simu yake but mdada yuko busy ukiona hivyo ujue upweke unagonga hodi na anatafuta pakujichanganya, hapo ndipo vurugu mechi inaazia.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Baba_Enock nimeipenda, itabidi nimshauri huby asafiri kidogo angalau 2 weeks.... miezi miwili ah ah!
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Routine (hata ikiwa ni nzuri sana) inakua kero asee....
  Thinking loud, kama mbinguni ni routine basi ni bora motoni....
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  this one has been noted!....
   
 11. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  lol.. naona mimi umenisahau kuwa nipo ndani ya jahazi wanaoamini hivyo pia,
  Mapenzi ya mbali uzuri wake upi??, au yanaongelewa mapenzi ya kitamthilia na kimuvi??.

  Haya yaliyojaa matamanio ili hali una mke wako pamoja 24/7???,na bado anatamani?
  je ukiwa mbali itakuwaje??, na umbali kwa muda gani?,kwa sababu ??,

  Haya ngoja niendelee kusoma hapa chini labda ntaelewa zaidi,
  manake nalo hili bongo langu zito kwelikweli kuelewa mambo,
  pamoja na kula sana nanasi lakin wapi? hainisaidii, lazima nilishughulikie hili tatizo langu haraka iwezekanavyo la sivyo mi nitakuwa wa mwisho kila siku kuelewa na kupata majibu...lol
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  I better think silently.....
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha naipenda thanx kuliko like
   
 14. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo penye bold pamenikuna kweli kweli.......Asante,
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Skulimeti.

  My wife has to read this valuable material. I have just printed it.

  Halafu pale kwa Jonista una bia zako nne nshazilipia.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i can see the dude is SINKING
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  To be taken into action or ???? Lol!!!
   
 18. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kweli thanks ina uzito zaid,
  lakin je unaitoa zaidi ya unavyopokea??? au.....lol
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ubaguzi wa shule na KUBAGUANA kwenye bia RESPECTIVELY
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahaha
   
Loading...