Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Za kufunga madirisha yote kwenye mabasi, kiasi cha watu kukosa hewa kabisa,eti kisa wanaogopa upepo utavuruga nywele zao walitoka nazo salon ili kwenda nazo safarini vijijini kwao kuwakoga washkaji wao na mashost wao ambao hawajafika town.
Yaani wananikera sana, na ukimwambia afungue dirisha anakunja sura kama......! Aagh!
Yaani wananikera sana, na ukimwambia afungue dirisha anakunja sura kama......! Aagh!