Namtafuta Anna Dominick alisoma Ruvu Sekondari

Loeli

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
997
Reaction score
763
Wakuu salaam,
Ninaomba kama kuna mtu anamfahamu Anna Dominick. Aisoma Ruvu Sekondari O level na alimaliza 1989 na baadaye kwenda A level Kilakala. Tulipotezana tangu alipomaliza A level na kwa kuwa hakukuwa na mobile sikuweza kumpata tena. Nimejaribu facebook sikufanikiwa. Ninamtafuta kwa mema, alikuwa rafiki mwema na alisaidia sana wengi shuleni kimasomo.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Update:
Ninachukua fursa hii kuishukuru JF na members wote waliotoa michango yao katikakumpata dada Anna Dominick. Kila mtu alisaidia kadri alivyoweza. Kipekee kabisaniwashukuru Suruma, watu8, na Aspirin kwa kunipa clue ya kumpata. Pia Nyauba
kwa kusaidia kumfikishi taarifa. Nilimtumia email na ameshanijibu. Asanteni sana.

Ukileta hoja kwa mtindo huu inaonekana ni upuuzi, ni bora ukakumbuka kuwa hili ni jukwaa la gt.

Kama uko serious ni kwa nini usije na verified user au jina lako halisi ili naye akutambue kwa post yako kama ulivyomtaja!?
Unasema mambo ya sijui mobile, fb, ni kwa nini nawe usipost namba yako hapa kama kweli unataka msaada!?

'Mitanzania ndivyo tulivyo' - Nyani Ngabu
 
Wapo wengi waliotafuta watu kupitia humu walifanikiwa. Kama huna nia ya kunisaidia kaa kimy. Nimepost kwa habari na hoja mchanganyiko. Sijaomba namba yake wazi hapa, na kama kuna anayemfahamu atanipa jinsi ya kumpata. Sina lazima ya kutumia verified ID!!! Ili iweje? Pisha wenye mapenzi mema watanisaidia.
 
Wakuu salaam,
Ninaomba kama kuna mtu anamfahamu Anna Dominick. Aisoma Ruvu Sekondari O level na alimaliza 1989 na baadaye kwenda A level Kilakala. Tulipotezana tangu alipomaliza A level na kwa kuwa hakukuwa na mobile sikuweza kumpata tena. Nimejaribu facebook sikufanikiwa. Ninamtafuta kwa mema, alikuwa rafiki mwema na alisaidia sana wengi shuleni kimasomo.

Huyo Anna Dominick unayemtafuta ni mchaga? kuna ninayemfahamu mimi, sema kabila lake japo.
 
'Mitanzania ndivyo tulivyo' - Nyani Ngabu

Wewe acha kuharibu kauli mbiu yangu bana.

Nikirudi kwenye mada, nami namtafuta Anita Sandu. Nilisomaga naye shule ya msingi miaka mingi iliyopita na sijamtia machoni tokea muda huo.

Mwenye habari zake aniPM tafadhali.
 
Huyo Anna Dominick unayemtafuta ni mchaga? kuna ninayemfahamu mimi, sema kabila lake japo.

Asante mkuu simakoku, ni mchaga, Enzi hizo alikuwa mfupi, mweusi na mrefu wa wastani hivi. Alikuwa mkimya sana na alipenda kusoma. Nakumbuka ni binti pekee kwa historia ya shule ile alipiga division one kali sana.
 
Hivi mumewe akiona unamtafuta mkewe si ndo atajua wewe ndo ulimtoa arkib.

Chonde mkuu, hakika atakuwa ameshaolewa kama aliamua hivyo. Ninamtafutia mengine tu mkuu, nimemkumbuka sana huyu dada maana ni kati ya watu wachache walikuwa na vichwa vizuri sana na hawasikiki kabisa. Sikupata tena habari zake baada ya kumaliza O level na kwenda Kilakala.
 
Weka picha

Ningekuwa na picha yake pia si haki kuiweka hapa bila ridhaa yake. Bahati mbaya pia picha yake sina mkuu wangu. Kwa wanaomfahamu watakubali kuwa alikuwa mnyoofu sana, nakumbuka alipewa zawadi na cheti cha nidhamu wakati anamaliza O level.
 
Wewe acha kuharibu kauli mbiu yangu bana.

Nikirudi kwenye mada, nami namtafuta Anita Sandu. Nilisomaga naye shule ya msingi miaka mingi iliyopita na sijamtia machoni tokea muda huo.

Mwenye habari zake aniPM tafadhali.

Anita Sandu simfahamu mkuu, japo sema ulimaliza naye shule ipi ya msingi mkuu. Hakika kuna watu ni lazima maishani tuwakumbuke kwa mema au mabaya yao.
 
Wapo wengi waliotafuta watu kupitia humu walifanikiwa. Kama huna nia ya kunisaidia kaa kimy. Nimepost kwa habari na hoja mchanganyiko. Sijaomba namba yake wazi hapa, na kama kuna anayemfahamu atanipa jinsi ya kumpata. Sina lazima ya kutumia verified ID!!! Ili iweje? Pisha wenye mapenzi mema watanisaidia.

Hata kwa PM wanaweza kukujuza
 
kweli unashida naye mkuu maana ingekuwa mijitu mingine uzi ushajaa mitusi mtafuto mwema..

Asante sana mkuu ndetichia kwa kuona hilo. Niko genuine kabisa kwa hili na kwa nia njema kabisa. Ninaamini nitampata tu.
 
Mkuu NN, huyu ulimaliza naye kule kwetu ikungulyabashashi p/school au?

Back
Top Bottom