VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kwa jinsi mnavyojikwatua na kujichubua hadi mnatisha. Mnakuwa kama wadudu au vibwengo. Acheni hizo...tunzeni uhalisia hata kidogo
Kwa jinsi mnavyojikwatua na kujichubua hadi mnatisha. Mnakuwa kama wadudu au vibwengo. Acheni hizo...tunzeni uhalisia hata kidogo
Is it really any of your business?
nikiona hii ID imekuwa-reactivated , basi najua kuna Ban imetembea mahali..........
pole sana mkuu.
Bora mdada ambaye anapaka make up kuliko aliyejichubua....yani huwa namsikitikia sana mana ngozi si kitu cha kukifanyia majaribio.....ukiharibu ndo imekula kwako....
nikiona hii ID imekuwa-reactivated , basi najua kuna Ban imetembea mahali..........
pole sana mkuu.
Unamjua buddy?
mezea tu besti!!!!!!!!!!!!!!