Huyu bwana alivuma sana hapa JF kwa kuwa wa kwanza kuchangia kila post inayowekwa ktk kila jukwaa. Lakini kwa wiki za karibuni hajaonekana kuchangia kabisa hapa JF.
Jamani huyu member mwenzetu...
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na...
Habari wana,
Aisee katika pita pita zangu nikakutana na hii kali.
Sio sir kama ni kweli huyo dingi inabidi akapimwe choo kabisaa. Hii ni kibokoo hahahahahahahahah.
Za asubuhi,
Ombi langu mshaurini huyu baba kijana nimetoa ombi na msimtukane mshaurini kwa upole mkimaliza nampa link ajisomee mwenyewe.
Huyu kaka kijijini huko alinipenda tokea nikiwa form one...
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila...
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika.
Ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba...
Niliwahi kuishi Jirani na single mom mwenye mtoto wa miaka 3, nimwage sifa zote kwa huyu mama maana alikuwa ni pisi haswa, yupo kwenye 28, shape matata, urefu kiasi futi 5.6, Rangi mashalaah...
Habari wakuu,
Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.
Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha...
Mwana Jf soma hiyo
Maumivu ya kuachwa kwa kawaida yanachukua miezi 11 au mwaka mzima....
Kama ukiendelea kuuumia basi utakua na matatizo ya akili muone daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako...
Laying this infrastructure was a crucial step.
My first encounter with Demi
Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook...
Kuwa crushed na kupewa rules and regs..
Mshana Jr na Uzi wake wa...
Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama...
Heshima kwenu wakuu.
Utafiti umedhihirisha kwamba mwanaume akiwa na mpenzi mrembo, basi wanawake wengine humwona kuwa mzuri au ana mvuto zaidi. Utafiti ulifanyika katika awamu tatu;
Kwanza...
MJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu...
Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa...
By Sangu J
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Nimebahatika kusikiliza mahojiano ya Mabeste na aliyekuwa mke wake, Lissa. Ukiwasikiliza kuna baadhi ya vitu unagundua...
Ni story sensitive kidogo ambayo sikuwahi kuileta hapo wakati huo niko na majanga ya mtoto wa diwani nilipatwa na mikasa haswaa.
Wengi mnajua kipi kilinikuta baada ya kumtia mimba mtoto wa...