Kumekuwepo na wimbi kubwa kwa hawa dada zetu, kuwa na watoto bila mume.Ukimuuliza anakwambiatumeachana na hawakotayari kuweka wazi sana.
Sasa mimi nashindwa kuelewa tatizo ni sisi wanaume, au ni...
Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni...
Mweupe anaendana na yeyote
Pia mweupe + mweupe sio mbaya
Maji ya kunde + maji ya kunde sio mbaya
Maji ya kunde + mweupe sio mbaya
Mweusi + maji ya kunde sio mbaya
Mweupe + mweusi sio mbaya
Onyo...
Tokea dunia ipunguze forced marriage na wasichana kuwa na maamuzi kuhusu ndoa zao,kila kukicha wadada nao wamekua wakiweka vigezo kadhaa kwa mwanaume anayetaka kumuoa,mara awe na degree, awe...
Kuna story moja ya kweli kabisa binti wa kazi/beki tatu alikuwa anamnywesha mtoto wa bosi wake viroba. Ni hivi mabosi ni wafanyakazi hivyo binti alikuwa akibaki home na mtoto peke yake.
Baada ya...
Nawasalimu wote,
Tangu mwezi February mwanzoni tumekuwa na mgogoro na mke wangu, mgogoro huu ulitokana na yeye mke kupoteza pesa zake za mkopo kiasi cha tshs million sita katika mazingira ya...
Happy Birthday to Myself
Today is my birthday
I celebrate with myself
I'm singing good cheer
No one is near
But me
Today is the day I've turned 21
I hope I have a lot of fun
even if I spend it...
Habari jamani humu ndani,
Hivi mtu unakuwa na ugomvi kila siku na mkeo huku sababu za ugomvi hata hazieleweki,visilani tu kila kukicha hakuna jema utalomfanyia akaridhika yeye kila jambo...
Wanawake viumbe wa ajabu unakuta mtu huna mpango nae lakini siku jaribu kumuomba namba ya rafiki yake, Utasikia muombe mwenyewe, wengine wanaenda mbali eti sina namba yake wakati ni marafiki...
Wakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu.
Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo...
Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa...
Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi?
Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka
Watu hufikia hatua ya kusema Bora...
Salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!
Lengo langu...
Brother ana mke wake (mmachame) wana miaka 8 ya ndoa sasa na wana Nyumba yao mitaa fulani hapa Dar.
Sasa juzi amekutana na rafiki wa mke wake akawa anampa hongera ''shemeji kweli nimekukubali ile...
Wakuu naskitika kuyasema haya, ila ukweli ni huu mkeo akikuaga anaenda kufanya "body massage" na maseur (mfanya massage) awe mwanaume kuna 100% chance ya kuchapiwa.
Take it or leave it
The phenomenon of couples looking alike after getting married for a long period of time is known as SPOUSAL CONCORDANCE.
Couples begin to share some physical resemblance as a result of years of...
Morogoro: Katika hali isiyo ya kawaida, kijana Karimu Said (25) almaarufu Anti Karimu aliyekiri kufanya biashara haramu ya kuuza mwili (ushoga), ameangua kilio redioni wakati akiutangazia umma wa...
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.