Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti...
Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja
Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu
Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa...
Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo...
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini?
Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka...
Kama mwanamke ana uhuru na munkari wa kuchagua bwana mwenye pesa zaidi ili aishi vizuri iweje wewe mwanaume uendeshwe na hisia bora liende na kutaka sifa ya kuwa una mke mkali mtaani.
Yani...
Je, unawaza kumpa talaka mke wako au mme wako? Kama una mpango huo, ngoja nikutajie hasara 20 za kupeana talaka, kabla hujafanya uamuzi utakaoathiri maisha yako. Zifuatazo ni hasara zinazoweza...
Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman...
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.
Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini...
Mama mkwe kamkuta mkwe (mume wa bintiye) sebuleni akiwa kafura na kapandisha hasira anadai ataua mtu.
Mama Mkwe: Mwanangu kwani kuna nini jamani?
Jamaa: Leo namuua mwanao, mshenzi sana.
Mama...
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.
Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear...
One of my boys got sick, so I took them both in for tests. Nothing major, just being cautious. A few days later, I went to pick up the results, and that's when everything flipped upside down. The...
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu...
Kwa mujibu wa vitabu vya dini ni kwamba mwanaume ni kichwa cha familia na Mwanamke ni msaidizi wake.Kwa maana mkuu wa familia ni baba ,huku mama anakuwa mkuu wa familia pale ambapo baba hayupo...
Hope u fine.
Hii imetokea kweli, kuna vijana wawili baba yao alifariki ghafla wakabaki na mama yao.
Kwao ilikuwa mambo mazuri vijana wakisoma secondary nzuri O level.
Baada ya mwaka 1 toka baba...
Nimekaa na huyu dada muda mrefu toka asubuhi. Tunapiga stories n.k akasema anajisikia baridi.nikamwambia basi nizime AC akasema hapana nimkumbatie.
NIkamkumbatia.basi akaanza kama kulalamika kama...
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu
Kwanini ni potofu, ukija kwenye...
Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo
Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo
Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu...
Don't give your woman a life that you have not giving to yourself.
Don't buy your woman iPhone 12 while you are managing Spark 4.
Don't buy her the best of clothes, while you starve yourself of...
Don’t always think a woman will leave you because you don’t have money.
A reasonable woman won't leave you because you don't have money. A woman will actually leave you:
1) when you refuse to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.