Mkuu unashangaa nini hapo?? Weekend kama hivi walikua wanajaa tele cna uhakika kama wote walikua married ila weng nlokutana nao ni wake za watu na wanapenda massage sana tu, wengne kat kat ya wiki wengne wanatoroka makazini hadi unashangaaAaa sa hapo cha ajabu kipibau mwanaume gani atakataa kama sio boya....massaj akafanyiwe huko na mwanaumwe na wewe mume upo ...huo upumbavu hata mimi kama nafanyIa wanawake massaj its obvious ntawachapa maana massaj inampa nyege.....af sasa achilia mbali ufundi wa masaj....kama ulimuwa unatuhusi mkeo kufanyiwa we una matatizo ya akili ya mahusiano
wanachapanaNa mwanaume akienda kufanyanyiwa na mwanamke?
Mbona wanaume wanaenda na wanafanyiwa na wanawakeWakuu naskitika kuyasema haya, ila ukweli ni huu mkeo akikuaga anaenda kufanya "body massage" na maseur (mfanya massage) awe mwanaume kuna 100% chance ya kuchapiwa.
Take it or leave it
Pole sana afande , hivi ule wajibu wa kumlipia ada mwanadunzi ifm ulikuwa ni wa nani? Hongera kwa kujua wajibu wakoHahaha hapo sasa.......mwanamke naye anakubali mumewe akafanyiwe af aje kulalamika mme kam cheat...yani mahusiano yabsiku hizi bhana watu hawajui wajibu wao .....ustaarabu sijui ndio uawafanya waone shida kufanyia wenza wao masaj...
Ule aisee wajibu wako na mimi mkuu... Tukutane screen server pale tukalipiePole sana afande , hivi ule wajibu wa kumlipia ada mwanadunzi ifm ulikuwa ni wa nani? Hongera kwa kujua wajibu wako
Screen saver siku hizi hakuna issue, yaan tokea walipoleta mambo ya dress code, pamekuwa pa kinaa. Kitaa kizuri airport au mti wa supp.(pale kila mtu ana adabu).Ule aisee wajibu wako na mimi mkuu... Tukutane screen server pale tukalipie
Na mwanaume akienda kufanyanyiwa na mwanamke?
Hii kitu niliwahi kujaribu aisee ilikuwa balaa maana wale mabinti ni mafundi hatari yaani mihemko ilinipanda mpaka uzalendo ulinishinda...