MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Tokea dunia ipunguze forced marriage na wasichana kuwa na maamuzi kuhusu ndoa zao,kila kukicha wadada nao wamekua wakiweka vigezo kadhaa kwa mwanaume anayetaka kumuoa,mara awe na degree, awe anajua mapenzi, six feet and plus, his physique iwe kama ya Dwayne the rock wakati mimi nikiangalia what she has to offer kwenye mahusiano ni matumizi yasiyo ya msingi and she is fake from her head to the toes.
Ebu fikiria tangu 2009 ulipokua tayari kuolewa umewahi kupata hata jamaa mwenye angalau nusu ya hizo sifa?shtuka dada umri unaenda na next week ni 2016 wavulana tunaotaka kuoa tunaendelea kuisha kwa kasi wakati majority hawataki kabisa kusikia ndoa,na ni bora umri uzidi kusogea kuliko menopause kufika .
Dada zangu akitokea mtu mfupi kama Mwala wa vitimbwi mng'ang'anie huyohuyo labda baadae atarefuka ukiwa kwenye ndoa, akiwa siyo msomi atapata hata degree yake akiwa kwenye ndoa, mara ooh sijui hajui mapenzi hayo mambo waachie watu wa porn,hata kama ana kibamia kuwa na imani tu ipo siku itakuwa bilinganya.
Cha muhimu kama mtu anataka kukuoa fumba macho uolewe mambo mengine baadae