Mke wa Bro anajenga ghorofa kimya kimya

Mke wa Bro anajenga ghorofa kimya kimya

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Brother ana mke wake (mmachame) wana miaka 8 ya ndoa sasa na wana Nyumba yao mitaa fulani hapa Dar.

Sasa juzi amekutana na rafiki wa mke wake akawa anampa hongera ''shemeji kweli nimekukubali ile njenge unayodondosha kule mbezi ni majanga, nawewe ulipata mgao wa escrow nini'' bro akawa anashangaa huku anasema mbona mi sina nyumba nyingine, huyu best akazidi kumwaga data, si kule ambapo mke wako huwa anasimamia.

Bro ikabidi awe muwazi kuwa sifahamu lolote kuhusiana na hilo jambo please naomba tupangesiku nikapaone, sasa ameenda amekuta mjengo wa hatari. Floor mbili zishakamilika na alikuta siku hiyo mafundi wakipaua vigae.

Bro alipata pressure, mpaka muda hajamuuliza mke wake, haelewi pesa katoa wapi maana hana hata uwezo wa kununua uwanja mke wake anapesa za voucher na kuendea saloon tu.

Bro anasema anasubiria aone mwisho wake itakuwaje, japo hana amani kabisa muda huu.

By: SUPU YA MAWE
 
Anapata presha ya nini amuache ajenge tu kisha maisha yanaendelea, ukiwa kwenye ndoa jipange kisaikolojia kwamba lolote laweza tokea wakati wowote.
 
Akili kichwani mwako. Mwache ajenge ikikamilika atamuambiwa kwa kumshtukiza.
 
Ww angalia yk shemej yk yake yanamuendea kesho atapangisha na kupata hela ww kalia usutwa
 
Kichwa chako kitakuwa na mafinyo finyo wewe si bure.
 
Back
Top Bottom