Mkuu nilidhani kwangu pekee ndo alionekani kumbe hata kwa wenzangu? Na kule ndo tunapopunguzia stress za mjini.
Huko kwenye jukwaa la wakubwa kuna nini wajameni?
Likirudi na mie nitaomba access maana naona nitakuwa nimepitwa sana.
Kingozi hapo ndo palikuwa mpango mzima, unacheka peke yako na Smartphone au Laptop maisha yanasonga mbele. Nani ataweza hizi Siasa za Bongo ambazo hazitabiriki 24 hrs
Nasikia tu watu wakilisifia,usisahau kunijulisha mkuu.Wow worry off likirudi tu nitakujulisha lilikuwa Stress Free zone kama uko mentally emancipated
Nasikia tu watu wakilisifia,usisahau kunijulisha mkuu.
Kweli utakuwa umelimisi.
Kuna yale mambo ya Raha tupu bulogu........ likirudishwa ntakuazima hii ID ukachungulie........Huko kwenye jukwaa la wakubwa kuna nini wajameni?
Likirudi na mie nitaomba access maana naona nitakuwa nimepitwa sana.
Halina umuhimu ndio maana wameona waliondoe kabisa!Hatakama wana edit lakini walirudishe wasije wakalitoa kabisa.Linapunguza stress.