mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,022
- 49,179
Wanawake viumbe wa ajabu unakuta mtu huna mpango nae lakini siku jaribu kumuomba namba ya rafiki yake, Utasikia muombe mwenyewe, wengine wanaenda mbali eti sina namba yake wakati ni marafiki walioshibana, bahati haivutwi kwa kamba wewe unayebania namba ukitongozwa unaleta pozi.
Sasa ole wako uipate namba kwa juhudi zako utazushiwa uzushi kila namna mara una ngoma mara we unabadilisha wanawake kama nguo, acheni kubania namba za wenzenu mtapata thawabu
Sasa ole wako uipate namba kwa juhudi zako utazushiwa uzushi kila namna mara una ngoma mara we unabadilisha wanawake kama nguo, acheni kubania namba za wenzenu mtapata thawabu