Zingatia: Furaha ya kweli 📌
Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa...
Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu...
Umeoa mkeo kwa mahari kubwa siku moja unarudi nyumbani unakuta hayupo unaambiwa kaenda salun unamfatilia huko salun unamkuta anafanyiwa huu UPUUZI tena na lijamaa, alafu mkeo anakenua anakwambia...
Dah ni siku nyingi Sana , inatokana na u busy natafta Ada na unga wa watoto wa baadae,
Bwana nimeamua sasa niweke jiko ndani baada ya kucheza michezo aina zote na wadada wa cariber mbali mbali...
Wanajamii mpo salama?
Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,
Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu...
Habari za muda huu, ni siku tulivu sana hapa. Jiji la Dar es Salaam kumekucha salama, ingawa kulikuwa na upepo wa baridi sana, poleni na natumaini kila mmoja wetu ni mzima kabisa. Nawatakia kila...
Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene...
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako
2. Maandalizi mazuri Kabla ya...
Mapenzi bhana, kuna time baada ya kuachana na mpenzi wako au maisha kuwawatenganisha kwa mda mrefu unaanza kuhisi umemmiss X wako and all of a suddenly unataka fall in love tena
lakini kadri...
Habari za asubuhi wazee,
Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na...
Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara...
Vipi, umeshawahi kukutana na mtu ambaye hatosheki kingono au kweye mahusiano ya kimapenzi?
Ambao hamjaangalia hii shoo ya “the polygamist”, inamhusu mbaba anaitwa Jonasi ambaye ana ndoa ya mke...
Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na...
Kubali au ukatae, Dunia ni ya mwanaume,kila kilichomo ulimwengu kipo kwenye control ya mwanaume.
Kila anachofanya mwanamke ujue kimeanzishwa na mwanaume.
Kwanza niwasalimie,lakini pili nichukue...
Maisha yanatufundisha kwamba unaweza kumsaidia mtu kwa moyo wa dhati, ukijua unajenga uhusiano wa kudumu, kumbe bila kujua unajipalilia miiba. Sio kila anayepokea wema wako anatamani kukuona...
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa...
Katika dunia tunayoishi leo, si rahisi kupata msaada wa kweli wa kihisia kutoka kwa watu
Mara nyingi mtu anapokuwa na changamoto hutamani kuonewa huruma kuambiwa maneno ya faraja, kushikwa...
Hamjambo!
Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana...
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa...