Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata...
So you're trying to tell me that my hard earned money is your love language?
Sorry i don't speak that language, and i will never speak
Kuna muda haya maisha yanataka watu wawili wenye kupendana...
N:B: Haya ypte yanatokea mtoto akiwa na umri chini ya miaka mitano
Mkeo anajifungua mtoto, unafurahi ukidhani ni damu yako
Unagundua kuwa mke ana mchepuko wa nje
Unafanya vipimo vya DNA...
USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO.
Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha.
Ni kawaida...
Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,.
Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe...
NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU
Anaandika, Robert Heriel
Kheri ya Christmas Wakuu!
Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu.
Wale wazee wenzangu wa...
Nimechoka wakuu
Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na...
Nimeona wengi wanatafuta wake au waume
Nawapa mwongozo
1. Jitambulishe jina
2. Shughuli zako (si lazima kuweka kipato)
3. Umri wako
4. Watoto (Body count si lazima)
5. Jinsia (Me au ke)...
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1...
Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu...
1. KIFO CHA MENDE.
Huu ni "mkao" wa kizamani au kilokole kufanya mingine ni dhambi hahahah
"Mkao" huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika "pembe" tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi...
They are soo emotional mature
Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana...
Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.