Watoto wakibalehe wasikae chumba kimoja?

Watoto wakibalehe wasikae chumba kimoja?

Wimbi la nguvu ya "nyege" katika umri wa balehe linafunika ufahamu wa udugu au nasaba iliyopo ili kukidhi matakwa ya kimwili......hivyo kama kuna wasaa wa kuwekwa mbali mbali baina ya watu hao basi litakuwa jambo la kheri kwao na kwa familia kwa ujumla!!!
 
Mimi naelezea kutokan na experience kipindi nnapokua nilikuwa na lala na binamu yang chumba kimoja. mim nlkuwa na miaka kumi na nne binamu yangu kumi na sita. nakumbuka enzi nikiwa form 2 binamu yangu aliwahi kunitaka kimapenzi ila nilijaribu kila hali ila nljikuta nimezama mtegon bahat tu hakuwa dadaangu maan sijui ingekuaje
 
Mzazi kama anaona hawezi kulea amq kutunza wanawe, basi asizae tu mazee
IMG-20260712-WA0001.jpg
 
Naunga mkono hoja inatakiwa kuwatenganisha walale vyumba tofauti.
 
Back
Top Bottom