Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mwanamke unaweza kukutana nae MAISHANI akawa kama Baraka kwako, Yaani Milango ya Fursa inafunguka Hadi unajiuliza hii ni nini, BINAFSI nakumbuka nimewahi kudate na Mwanamke ambaye Hadi...
3 Reactions
14 Replies
518 Views
Vitaa Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana Ila ndoa ni tamu...
1 Reactions
1 Replies
72 Views
Mwanasaikolojia Charles Nduku akihojiwa kupitia Clouds Media, amesema kwa mazingira ya sasa usimruhusu mtoto wako kulala na mtu yeyote. Anaeleza... "Unajua jaribu kutafuta historia... tuchukue...
0 Reactions
4 Replies
92 Views
Njoo ubishe Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na...
3 Reactions
27 Replies
325 Views
Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria. (me na ke). Chama hiki kilianzishwa baada ya kushamiri kwa...
17 Reactions
422 Replies
4K Views
Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa? 2 au kua na mwanamke mmoja? 3 au kua handsam? nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w WANAWAKE...
7 Reactions
48 Replies
495 Views
"Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa...
7 Reactions
54 Replies
792 Views
Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa...
6 Reactions
42 Replies
457 Views
Binti wa zamani umepotea sana JF ukiwa hauko kunaboa sana.nmemiss zile nyuzi za baba mjengo zilizojaa mahaba tele.
1 Reactions
2 Replies
50 Views
Hellow wana JF. Siku hizi kumeibuka makundi ya watu wanaokula wake za watu na kuwatupia lawama waume zao kwamba hawatimizi majukumu yao yote kama mume. Swali langu kwa wewe unaye kula wake za...
24 Reactions
203 Replies
3K Views
Chapter +1. Still the main character👸 May this new age of mine be good and kind as i am…. 🥂to more many steps ahead 🥳🥳🥳
18 Reactions
67 Replies
600 Views
Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo. Kuhusu kupendwa tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan...
34 Reactions
462 Replies
4K Views
Huyu shem wenu kanisurprise sikuwa na mpango wa kuzaa naye kwa sasa kichwa kinaniuma wadau naombeni ushauri wenu.
5 Reactions
91 Replies
887 Views
Nina miaka 26 na nimeoa mwanamke wa miaka 36 na ndoa yangu haina tatizo naenjoy kinoma.Ningeoa 18 to 25 ningeisoma namba.
2 Reactions
23 Replies
248 Views
Ni mtoto wa miaka mi 5 kutotaka shule na ukimpeleka shule analia, na kusema siwezi kujifunza kitu hicho hicho kila siku Nilileta uzi hapa Wadau wengi walinishauri na nikachukua ushauri wao...
7 Reactions
57 Replies
740 Views
Mwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na...
64 Reactions
232 Replies
6K Views
Hivi unadhani utapendwa vile vile after 10years or 5 years? Hivi unadhani uzuri uliomchagulia utakuwepo after 15 years or 10 years. Hivi unadhani kuna atakaevumilia 6 years ya kupata sex sehemu...
4 Reactions
8 Replies
144 Views
Kama huyu mke wangu mama amina ananiheshimu sana maana mimi masta kitandani.huwa namshushia dozi vibaya mpaka anakiri kwel ww ni mwanaume sio bora mwanaume.
1 Reactions
25 Replies
501 Views
Wakuu, Habarini? Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi. Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango...
68 Reactions
104 Replies
9K Views
Wana jf kuna mtu kaoa amekaa 4yrs bila mtoto, na rafiki yake ana watoto kadhaa. Sasa jamaa ashachoka kuitwa uncle na wale watoto wa rafiki yake anatamani na yeye aitwe baba cku moja. Jamaa...
14 Reactions
201 Replies
3K Views
Back
Top Bottom