Mimi ni msichana mwenye miaka 24 nina mtoto mmoja mdogo,baba yake alifariki mtoto akiwa mchanga.Najiuliza sana nitaweza kupata mume atayempenda mwanangu kama baba yake mzazi na ndoto zangu...
Inawezekana kabisa kuna watu ni wanawake kwa jinsia zao halisi lakini wanajibehave kama wanaume kwa jinsi wanavyocomment, wanavyoandika au hata wakati mwingine kukiri kuwa wao ni wanaume...
Mie ninamchumba wangu ambae nimedumu nae takribani sasa miaka 5.Tulianza mahusiano mie nikiwa nimemaliza kidato cha sita yeye cha nne,nikaenda chuo kikuu yeye akaenda advance level lakini...
Mapenzi hunogeshwa na vitu vidogo vidogo mno busu kulishana kupeana pole nk wengi wetu huvidharau vitu hivi lakini vina nguvu kubwa mno kwenye kujenga mahusiano imara...
Utafiti unaonyesha kuwa jinsi mnavyolala na mwenzio inaonyesha jinsi gani mahusiano yetu yalivyo na nguvu on the other side of the bed, facing the wall?
Umbali baina ya wapenzi, utafiti...
Sijui nichukulie powa powa tu niendelee naye au nimuache. Leo nilitoka naye kwa grocery jirani na ninapoishi pande za kigamboni. Wakati tupo kwenye maongezi akanishika kama kunistua hivi...
Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa
Mara nyingi kwenye uhusiano mwanamke akitangulia kumuacha mwanaume huwa hamna tatizo lakini sasa mwanaume amwache mwanamke ndo kunakua na kimbembe lazima lijengeke bifu na hata mkikutana no salamu...
Siku hizi imekuwa kawaida kwa baadhi ya vijana wanapokuwa mashuleni wanatafuta wasichana baada ya hapo wanawapa mimba na akigundua aliyefanya nae mapenzi ana mimba basi msichana huyo...
Habari zenu jaman
Sikukuu ilienda poa sana kwa upande wangu vipi kwenu nyie?
Jus ni ushauri tu jaman,,
Maisha yashakuwa mafupi haya kila siku watu mnalalamika kutendwa sijui kufanywaje mnalia...
》Ukifuatilia kwa makini WANAWAKE WENGI WAMEPOTEZA UHAI wao na bado wengi wanazidi kuangamizwa na wapenzi wao sababu kuu hizi...
1/ Wako ktk ndoa...halafu mke NI MCHEPUKO sana
hapa...
Habari,
Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia...
Wakuu JF.
Mahusiano mengi au ndoa yanaweza kuanza vizuri lakini baada ya muda yanavunjika..
Hili limekuwa ni tatizo ambalo limewasumbua watu wengi sana wengi wamejikuta wakihaha huku na kule...
Kundi la p square hatimae limevunjika kundi hilo la wasanii mapacha Peter na Paul limevunjika rasmi huku sababu zikiwa ni wanawake walio waoa hivi karibu wametia fitina zao.
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba...
Shikaooooooni wakubwa na wadogo !!!!!
Nakaa nawaza nini tatzo ??
Sipendi !!! Moyo wa kupenda upo neiiii yani kama ni gari alternator haifanyi kazi so betri inakufa muda wowote tu gari ikienda...
Yeye alikuwa mwanajeshi katka kambi ya jeshi ya nyamatare-musoma mjini kwenye miaka ya 1980, na ni mtu wa mtwara, kwa bahati mbaya mama yake hakuwahi kumweleza jina la huyo baba yake ila mama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.