Hizi zinaweza kuwa dalili za mahusiano kuvunjika!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi zinaweza kuwa dalili za mahusiano kuvunjika!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshume Kiyate, Oct 22, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu JF.
  Mahusiano mengi au ndoa yanaweza kuanza vizuri lakini baada ya muda yanavunjika..

  Hili limekuwa ni tatizo ambalo limewasumbua watu wengi sana wengi wamejikuta wakihaha huku na kule kutafuta msaada pasipo kuwa na mafanikio.

  Hivi hizi zinaweza kuwa dalili za mahusiano kuvunjika...

  1. Ni pale unapotaka kulitatua tatizo na mwenzi wako anaendelea kutafuta sababu tatizo liendelee.

  2. Wakati mwingine unapoona mabadiliko kwa mpenzi wako mfano dharau jambo dogo unatolewa ukali kutotimiziana haja mbalimbali ambapo zamani haikuwa hivyo.
  3. Unapewa ahadi hewa..

  4 Kupunguza mawasiliano kuonana, kuongea na simu au sms hata akitumiwa hatazijibu, au anaweza kukurudishia zawadi ulizompatia, au atakuambia yeye ndugu zake wamekataa au anaweza kusema hajisikii vizuri akiwa na wewe.

  5. Mkipanga kutoka anakuambia nyumbani kuna wageni labda siku nyingine wakati zamani hakuwa hivyo..

  6.Anakuomba pesa nyingi wakati anajua huna uwezo huo..
  Wakuu hizi dalili zina ukweli wa kuvunja mahusiano tujadili...
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  nadhani umelenga mahusiano ya watu kabla ya kuoana; ni kweli hasa no. 5, 4, na 1
   
 3. K

  Kashishi yetu JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2014
  Joined: Mar 22, 2014
  Messages: 1,600
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 280
  Kuanzia Namba 3 Hadi Mwisho Yalinitokea Na Kweli Penz Lilivunjika
   
 4. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2014
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 145
  ^^
  Naam ni dalili
  ^^
   
 5. k

  kibobo Member

  #5
  Apr 21, 2014
  Joined: Apr 6, 2014
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni kweli
   
 6. umukagame

  umukagame JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2014
  Joined: Apr 10, 2014
  Messages: 949
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 80
  Me kma mtu simtaki ndo zangu nakwambia baby nna shida na m.1 nsaidie plz
   
 7. m

  mysee Member

  #7
  Apr 21, 2014
  Joined: Apr 4, 2014
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1,2 na 4, kwa wanandoa zilizobaki ni wachumba.
   
 8. I

  IKINGO JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,503
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kweli.
   
 9. Nanaa

  Nanaa JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2014
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 5,909
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye namba tatu pamenigusa. Nlichofanyiwa ni aibu kusimulia.....ila maisha yanaendelea.
   
 10. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Hiyo ya 6 nshaifanya sana lakin haikuleta mafanikio badala yake nimekuwa nikipewa zaid ya pesa nilizoomba mmh imegonga ukuta
   
Loading...