Hii Ni Noma Sana Halafu Inakera

Hii Ni Noma Sana Halafu Inakera

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA
 
hahaahaa hiyo nomaaaa kk bt kama vip kwa ushauri kitanda weka mafuta kwenye matendegu fo sake of to reduce frinctional br just du thz its helps u..!!
 
shusha godoro chini piga papuch yako mbona hakijaharibika k2! au kitanda cha kamba?
 
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

Godoro chini mkuu!jee shemeji hapigaki kelele wakati wa majambooz?
 
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

weka godoro chini mwanangu.mpunguze sound zenu.
 
Huyu naye wa wapi, kwani mechi lazima ichezwe kunako 6*6, mwambie waifu ainame achume mboga! Akiinuka wewe mwepesiiiiiii
 
Teheeee mkuu hii inafaa kabla hamjalala, sasa kile cha alfajiri pale kabaridi kumuamsha tena waifu inakuwa namna gani hapo...
 
Mkuu Mshana hakuna kiredio mkulima hapo kile cha betri ujidai unapenda kusikiliza redio kabla ya kulala lol...
 
Kwanza mpare gani wewe huna haya unalala ukweni? Kwa makabila mengi ya kibantu ukienda hata msibani, utapelekwa kulala kwa ndugu mwingine na sio kwa wakwe. Uage asubuhi bwana acha kutia aibu

duuu okay
 
Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI

Peleka kitanda jikoni....naamini jiko liko mbali kidogo na chumba cha wakwe na shemeji.
 
Kwanza mpare gani wewe huna haya unalala ukweni? Kwa makabila mengi ya kibantu ukienda hata msibani, utapelekwa kulala kwa ndugu mwingine na sio kwa wakwe. Uage asubuhi bwana acha kutia aibu

Kweli wapare majanga. Kweli dume na kende zake linathubutu kulala na mtoto wa watu nyumbani kwao?
 
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba haina ceiling board na kitanda mlichokuta chumbani kinapiga kelele ile mbaya. ukigeuka kidogo tu kelele kuna baridi kali na unatamani kuguda...! shida kitanda kinatoa stereo ile mbaya! nakereka mnooo!!! NIPO KIJIJINI SITIMBI NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

we wadhalilishe wakwe tu kwam a wanavitanda vibovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom