Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Sijui nichukulie powa powa tu niendelee naye au nimuache. Leo nilitoka naye kwa grocery jirani na ninapoishi pande za kigamboni. Wakati tupo kwenye maongezi akanishika kama kunistua hivi, akaniambia angalia kule mwanaume anakojoa. Kuangalia ni mlevi moja anakojoa huku akiwa na mtarimbo wa haja. Umelala doro ni sawa sawa na wangu ukiwa wima. Kinachoniumiza, kwa nini alistuka vile. Kwa nini alimuita mwanaume huku akimkodolea bila soni. Nimemchoka ghafla