Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heri ya Pasaka wana-MMU! Nataka kufahamu ni kitu gani ambacho mwanamke anakihitaji kwa mwanaume na mwanaume lazima amtimizie mwanamke kama sehemu ya majukumu yake! Nimetafakari na kugundua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Waslaaam wana jamvi wenzangu.... Nimejaribu kukaa na il jambo ila naona bado nadaiwa humu... Kwa wale ambao wamekua wakifatilia thread zangu za nyuma kuanzia nahisi naibiwa na ile nyingine ya...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna ukweli katika hili ????
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Limeleta mgogoro mkubwa swali hili Hivi ukiona demu anakuangalia saana na kila mki kaa na mkikutana anakuangali tu inamaanisha nn
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mmu
wajameni hivi ili neno MMU linamaanisha nn. mi nalionaga tu humu ndani...na marafiki zangu wengi wa humu ndani kama JAWILAT, excel etc huwa wanani PM niwape maana lkn cjui...sasa naombeni jibu...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Samsung Galax yako imeibiwa.. umenuna, umesikitika umetukana na kulaani wezi wamekurudisha nyuma kimaendeleo..!!! Ila ulivyopoteza bikira yako kwa tamaa za bia chips na nyama choma wala...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maelezo yako nimeyapata vizuri na kama mchungaji wako nimegundua kuwa una hoja zifuatazo lakini hazina mashiko: 1. Maziwa yake yamelala halafu makubwa- Kimsingi, kila mwanamke kadri unavyomtumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana MMU nakuja jukwaani kueleza tatiyo langu katika mapenzi ni kwamba kila nikipata msichana huwa ananitenda tu kwa kutokuwa muaminifu kwenye uhusiano swali nifanyeje niepukane na kutendwa na...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Hivi ni kwa nini mabosi hufanya mapenzi na wafanyakazi? Hili jambo naona kama ni tabia mbaya sijui wewe mwenzangu unalisemeaje ama unalizungumziaje.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
A little jealousy in a relationship is healthy because it is just a prove that someone is afraid of loosing you
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Habarini za usiku wanaJF,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku...
14 Reactions
278 Replies
74K Views
STORY FUPI YENYE MAFUNZO.... KUNA WIZI UMETOKEA BENKI •••••••••••••••••••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu". Wote wakalala chini. HII INAITWA DHANA YA...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina demu mmoja wa Kichaga huwa tunaburudishana kwa kupeana vyetu,ni mzuri kwelikweli kiasi hata cha kunifanya kwa nini amekuwa Mchaga kwa kuwa ana shepu balaa... Sasa juzi kati akanipigia simu...
5 Reactions
94 Replies
9K Views
Hbr ya Asubuhi wana jf ktk jamvi hili la MMU... Leo ni jumapili tulivu sana ikiwa na shamrashamra za kumbukizi za Yesu kristu kukishinda kifo takribani miaka 2000 iliyopita. Shamrashamra za siku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kupenda ni kutenda nini au kusema nini hasa kwa mwenza wako? Tangu nikiwa chuo mpaka sasa huwa naambiwa sijui kupenda, though nipo real and true. Maigizo tuu ndio sijui.. Wanaoitwa wanajua...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
BANIANI MBAYA… NI asubuhi bado sijaamka kutokana na uchovu kwa sababu nilikuwa nimetawaliwa na hang- over ya pombe nilizokunywa usikuwa jana. Nilikuwa bado nagalagala kwenye kitanda...
15 Reactions
47 Replies
9K Views
Baada ya kusikia kauli ile kutoka kwa mwalimu R.......... roho ilipasuka 'paaaa' na kwa muda mfupi tu niliingiwa na wimbi zito la mawazo.Huku nikihema juu juu mwalimu R..... aliniambia "G...
0 Reactions
65 Replies
89K Views
Jamani mimi nipo serious na hili lakini watu si wastaarabu,wewe unajua umeoa then unanitafuta na kutaka mahusiano na unanidanganya upo single,hatimaye ninasumbuliwa na wake zao tukianza tu kuchat...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Back
Top Bottom