1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba, ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule...
Leo nina mtoko na babyyy wangu...Jana watoto ndio waliikuwa siku yao kuinjoi sikukuu leo watu wazima ndio zamu yetu...asikwambie mtu nimependeza jamani,babyy nikifika lazima apagawe kama kawaida...
jamaa yangu kwa sasa ni afisa wa idara moja hapa nchini,anamtafuta baba yake ambaye alikuwa mwanajeshi ktk kambi ya jeshi nyamatare-musoma mjini miaka ya 1980. KWA BAHATI MBAYA MAMA YAKE HAKUWAHI...
Nina mchumba yapata miaka minne sasa,mwaka huu ndio tulipanga tufunge ndoa.lakini alipokwenda kwao kutoa taarifa kwao wamemkatalia.mama yake amemwambia kwamba kila anapomuomba mungu wake anaona...
Habari za wakati huu
Jamani mie katika vitu nlivyojaribu kuulazimisha moyo wangu na umekataa ni kujilazimisha kumpenda mtu cjui n kwa nn jaman moyo wangu kwa nini unanifanyia hivi?umekuwa mgumu...
Mi ni mkristo ila nafikiri hii dini ya ukristo wangefuata uislam katika suala zima la Kwa wanaume kuoa up to 4 wanawake na hii ingechangia sana kupunguza michepuko ambayo inahatarisha maambukizi...
Naona wadau wengi tumejisahau..sasa nikakaa na kufikiri nikandua kuwa vijana wengi hawachukulii hili balaa kama ni zito kwa kizazi chao
jamani tufanye lakni tukumbuke kinga ili tusidumbukie...
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao wameishi sana vijijini, si kijiji kimoja nimeishi vijiji vingi sana lakini sijawahi kukutana na mashoga.
Pamoja na kwamba watu hao muda mwingine wanasema kwamba...
Ni matumaini yangu pasaka inamalizika vizuri wana JF wenzangu.
Ndoa ni jambo la baraka kwetu na hata kwa mungu.Lakini hizi ndoa za siku hizi watu hawaishi kulalamika,si hapa JF tu hata in real...
Embu kaa ufikirie leo hii wewe mwanaume ni mwanamke halafu akaja mwanaume aliekutamani akakutongoza kwa gia ya kukupenda na blar blar kama nataka nikuoe then ukakupata kwa imani kwamba umepata mtu...
Habari wapendwa..
naomba mwende katika JUKWAA LA SHERIA niliweka post yangu yenye kichwa cha habari kinachosema MSAADA KATIKA SHERIA ZA KAZI...
Lakini sijapata msaada wa mawazo na ninaamini...
habari za leo wanajamvi,hivi binti ukiwa smart kimavazi,namaanisha kimuonekano inaweza kusababisha wanaume wakaogopa kukuaproach? ninarafiki yangu ninafanyanae kazi, mdada ni mzuri,anajipenda yan...
Ni sahihi pete ya ndoa kuvaliwa na mwanandoa mmoja? Je pale unapoona mwenzio havai au anaivua katika mazingira ya kutatanisha nini suluhisho? Michango tafadhali
Nawasalimu wanajamii wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu...
Habari za wakati huu..?
Katika maisha yetu ya kiafrika tumelelewa kuwa wasiri haswa katika mambo ya mahusiano..yani hata kama jambo linaumiza wewe litunze moyoni kuna siku mambo yatakuwa sawa...
Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Jeunafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatiamasuala yafuatayo, ambayo yatakusaidia kutambua kama upo tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.