Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Yeye alikuwa mwanajeshi katka kambi ya jeshi ya nyamatare-musoma mjini kwenye miaka ya 1980, na ni mtu wa mtwara, kwa bahati mbaya mama yake hakuwahi kumweleza jina la huyo baba yake ila mama wa huyu jamaa alikuwa kwa dada yake hapo nyamatare na kwao ni kijiji cha maneke musoma vijijini na baba wa huyo mama alikuwa anaitwa mzee chiro torota, kwa yeyote mwenye jamaa iliyefanya kazi ya jeshi apo kambi ya jeshi nyamatare(kwa sasa ipo karibu na makoko seminary) tusaidiane ktk hili,kwa sasa jamaa ni afsa katika idara mojawapo apa nchini,mawasiliano 0659917538. Asanteni.