Wana jamii hebu mnipe msaada ni mda mrefu sasa nimekua na uwezo wa kusex goli moja tu , hata nifanye nini siwezi kuendelea japo nimekuwa na kawaida ya kufanya romance ya muda mrefu , nikaingia...
Sio wote ila wengi ni wambea, wakuda, vizabizabina na ma informer wa mabosi.
Wengi wao ni wanafiki na ndumilakuwili.
Kibaya zaidi hawapendani wao kwa wao, sijui ni hulka au kurogwa?
Katika pitapita zangu zooote za miaka kadhaa nddani ya JF nilikuwa najiona mwenyeji kumbe kuna chocho sijawahi kuingia, sasa leo nilikuwa sina hili wala lile na sioni thread ya kuvutia nikaingia...
Wadau leo nimevutwa na kumbukumbu ambazo zilikua zimeanza kupotea enzi hizo Loi maganga ana kipindi kila jumapili saa 4 usiku kinahusu mahaba redio free africa alikua ana sauti nzuri saana na...
STORY ZA WASICHANA KATIKA SIMU
Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine...
Nimerudi kwa nguvu za kijeshi
leo ni hv uko na demu wako mnachati anapita mshkaji demu wako anaanza kumuangalia jamaa mda mrefu hadi unamshtua hii ikoje
Ivi wana MMU,
mtu akichepuka anajikomesha mwenyewe au mwenza wake?
Mathalani mwanamke. Anamkomoa mumewe au ajikomoa mwenyewe? Ya nani inaenda gegedwa?
Kwangu Mimi hata achepuke Mara mia siumii...
Habari zenu wapendwa
Kuna kitu kinanitatiza hiv ila nahis nyie mnaweza kuwa na mtazamo sahihi
Ni hivi toka niwe na mpnz wang hajawahi hata kunipa sh,100 yake i mean kutumia pesa zake ila huwa...
Mmi ni kijna mwenye umri wa miaka 23 n nina fanya kazi naihifadhi kwa sasa natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo...awe mwl wa prmary..sec o-level,,,,nesi au anosomea ualimu dini mkristo na ni...
Kuna nguo ambazo, mwanamke anapovaa, hawi huru kwani zinamghasi na kumpa hofu na wasiwasi kwa muda wote anapokuwa amezivaa. Kuna nguo za kubana, kuna nguo fupi sana, kuna nguo zenye kuonyesha...
Kabla hayajaota niliyatamani saana yalipoota nikafrahi saana badae nikaambiwa ni uchafu nilisikitika saana nilipoyakata mara ya kwanza nikiamini hayataota tena nilisita saana nilipoingia bafuni...
Habari wana Jf,
Nashukuru kama wote tumepita salama katika kipindi hiki cha sikukuu, kwa upande wangu ni kama ndoto tu..Nisiwachoshe....
Rafiki yangu kipenzi,amekuwa akimcha Mungu sana na...
Wadau naomba nijitokeze kwamara ya kwaza katika jukwaa hili, hili jambo nimeliona sana na kwakweli tobe honesty mimi nawachukia sana wanawake wenye vitambi (kimapenzi na si vingine) lakini sasa...
Habarini wanajamvi,
Nahitaji kusaidiwa kwa mtaalamu wa mambo ya physiology ya mwanadam, mimi nina matiti tofauti moja kubwa na limelala kama ndala na jingine la kawaida limesimama kama saa sita...
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo...
Hbr yenu wana jf
Najua wadada wengi wa Leo mnaishi kimatangazo na hivyo mishebeduo mingiii na sio uhalisia.
Nikirudi kwenye mada, kwanini wadada wengi wa Leo mnashadadia sana harusi zaidi ya...
Naishi mwanza elimu yangu ni chuokikuu natafuta msichana mrembo na msafi awe na umri kati ya miaka 18-24 alieenda shule lakini pia awe ni mtoto wa kitajiri mkristo tuma ujumbe na picha via...
1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba, ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.