Asante ....hata kwa harufu tu
Ingekuaje leo mungu avunje ndoa zote ili tuchaguane upya je ni ndoa ngapi zingejirudia .
Ila umesahau kuna tuition (uchumba).
Hili mimi nimelithibitisha kabisa kwenye ndoa, kwamba ni tasnia pekee ambayo unapewa cheti bila kusoma halafu mitihani ndio inafuata
Ukweli ni kwamba ndoa pengine ndio mtihani mrahisi kuliko yote na ndio maana unapewa cheti kabla ya kufanya exams ikiaminika kwamba no body will never fail.........lakini kutokana na ugumu wa mioyo ya wanandoa like no one is ready to loose his/her freedom and get occupied to marriage principles ndio maana ndoa huwa ndoano.....but ndoa ndio mtihani rahisi kuliko yote under the sun!
Kaanzishe thread ya hili wazo, ni kubwa sana linahitaji mjadala wa kipekee zaidi!