Yeye alikuwa mwanajeshi katka kambi ya jeshi ya nyamatare-musoma mjini kwenye miaka ya 1980, na ni mtu wa mtwara, kwa bahati mbaya mama yake hakuwahi kumweleza jina la huyo baba yake ila mama wa...
Habari za Easter Monday wana MMU,natumaini ni bukheri wa afya
Kwa mara ya kwanza naandika uzi katika jukwaa hili ambalo kwangu mimi naliona jukwaa muhimu sana lenye kufunza katika kujenga msingi...
Yaani kila unapopita hapa mtaani, kila mwanamke awe M-mama ama binti, awe mke wa mtu au dada poa ni Mwendo wa C.h.u.p.i ndani na khanga nyepesi juu, halafu kila akitembea anakuwa anaifungua fungua...
Heshima kwenu wadau,
Kutokana na ugumu wa ajira nimeona bora nianzie hata na kazi ya ulinzi ili niweze pata angalau senti ndogo ndogo za kusogeza maisha huku nikiendelea kutafuta kazi zenye...
Natumaini mko salama wana jukwaa.
Jamani katika kusherehekea sikukuu ya pasaka jana,nilikua kiwanja flani tunapga stori na washkaji na kamvua kwa mbali. Sasa akaja binti mmoja karibu na meza...
MAHABA NIUE,KICHWA KUUMA,MIGUU KUTETEMEKA.
Unakuta kuna babe umempenda sana na unakuwa na hamu ya kuchat nae kwa sms au hata whatsapp.
Tatizo ni chat zake.
ukimtext mambo yeye anajibu poa na...
habari za umu wana mmu
Baada ya kuamua kua na mpenzi wangu huyu kwa shida na raha na kujiahd moyon kwangu kua wil neva leave her side,,,,kioja kimekuja baada ya mm kupangiwa kikaz jijin mwanza...
kwanza nianze na simulizi kidogo; Kuna dada amezaa mtoto 1 na mume wa mtu,na jamaa alimtelekeza.
Sasa jinsi huyo dada anavyomtunza inashangaza mtoto wa mwaka 1,akijisaidia anapata kipigo na...
Nimeona mara nyingi tu wapenzi wakikumbatiana au watu wanaofahamiana wakikumbatiana na furaha inayoonekana kwenye nyuso zao
Kumbatio ni tendo la furaha na upendo ,tendo lenye kuleta muunganiko...
Kila siku naona matangazo ya kutafuta mchumba !
Je kuna waliowahi kufanikiwa kumpata atakaye??
Je waliwahi kuleta shuhuda humu na kuishukuru JF love connect!
Hebu fungukeni....
Ama kweli mke wa mtu ni sumu kali sana. Jamaa mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa mda mrefu kabla mme wa mke hajagundua. Sasa baada ya mda kupita, alipata taarifa kuwa kuna jamaa anamla mke...
Kijana badala ya kujishughulisha na kazi unakaa unawaza mademu mda woote ni mapenzi mchana kutwa unatunga tunga tu sms za mapenzi ww unamiaka 26 unakuwa na sura mzee wa miaka 76 kisa kuwazawaza...
Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia...
Hivi hujawahi kukaa na kufikiria kidogo kuhusu wazazi wako?
Kila wanachokifanya kukuhusu wewe ni kwaajili yako.
Na hata kama kuna mahali wanakukosea au wanakosea bila kujua, kuna haja yoyote ya...
imekuwa ngumu kujadili na kuwa na maamuzi sahihi juu ya matatizo na maafa yanayowakumba watu katika urafiki na mahusiano,basi kwa wenye kutumia whatsapp ni bora kujadili na kujifunza pamoja na...
wakuu nimekuwa nikiona teknolojia ya kutumia kimtambo kinaitwa handsome up kwenye gazeti la uwazi kazi ya kimtambo hiki ni kurefusha na kunenepesha uume bila kutumia kemikali je kinasaidia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.