Demu akikupenda

Demu akikupenda

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa
 
Hivi heri lee,huko chuo unasomaga kweli?

Maana kila siku hukosi thread 4 zote zinazungumzia mapenzi tu!!
 
Heri Lee bado hujajua jinsi ya kuandika thread na pia una tatizo la lugha
 
Sio lazima wote tuanzishe thread wengine tubaki wachangiaji ni vyema sana
 
Sio lazima wote tuanzishe thread wengine tubaki wachangiaji ni vyema sana
Ndio maana nikakaa zangu kimya kuliko kutoa post halafu unashambuliwa naweza nikapasua simu yangu bure kwa hasira.
 
Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa

duhh yule demu aliyetaka smartphone ya 350000 ushamnunulia???
 
Back
Top Bottom