Wana MMU, wanawake kwa wanaume naombeni msaada. Ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini? Rafiki yangu wa kike anayeishi Moshi ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika...
Kuna tetesi kwamba ukimtahiri mtoto akiwa mdogo viungo vyake vya uzazi havikui sana ukilinganisha na waliotahiriwa wakiwa above ten. Hekima izingatiwe please.
Najua wapo waliotahoriwa wakiwa...
Hizi ndo marks (majibu) ya kupata ndoa mapema..........hii inawahusu hadi wale walio kwenye uchumba chronic/sugu
Hamna haja ya kunywa mchina uongeze makalio,wala kuenda kwa sangoma upate ndoa...
Haya mambo za mapenzi hayana dalili wala hodi sometimes, hiki ni kisa cha mtaani kwetu.
Familia mbili changa zimekuwa kwenye level ya juu sana ya family friendship.Wababa wenye hizo nyumba wameoa...
Habari za asubuhi ndugu zangu,ni muda mrefu nakuwa nkitumia huu mtandao but ombi langu bado halija fanikiwa,Ila mim n mwanaume wa 27 yrs,mrefu na mweusi wa maji ya kunde,elimu ya chuo kikuu...
Namasteeeeee!!
Mwenzangu IS IT JUST ME AU NDO GAME LIMECHANGE SIKU HIZI? Au ndo nimeshakuwa mbuzi mzee bila taarifa? Naaaaaaah! Wanaume mnakoelekea siko. SIKO SIKO KABISAAAAA! Whats up with the...
Habari za saizi na poleni kwa majukumu ndugu zngu,ila nashukuru kwa walioni nshauri nakunikosoa jana kwa ombi langu la kupata mdada wakula nae raha jana,kwa bahati nzuri au mbaya ombi langu...
Shalom wana MMU!! Kuna msichana nilimpenda ,propably alikua rafiki yangu. Siku moja nika maproch akasema ana boyfriend na tena ni rafiki yangu, baada ya hapo tukaendelea kuwa friends kama...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28,mkristo nasali romani catholic na nimeokoka,elimu yangu ni shahada ya uzamili yaani masters,nina kazi nzuri tu na ni mwajiliwa wa selikali, rangi ni maji...
Hbr ya kuamka wana MMU wenzangu?
Siku yangu imeanza vema, hofu ni kwenu nyinyi.
Tuwaombee heri wagonjwa ili warudi ktk siha zao za kawaida na warejee ktk utebdaji wao wa kila siku.
Tuwafariji...
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu...
Habari wana JF,
Kila siku nimekua nkitamani sana kuolewa, nikiwa peke yangu ni kuononeka tu moyoni juu ya hilli. Na hii imetokea baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu ambaye tulipanga...
Together 4 Ever Wives:
Your husband's greatest need is to be respected. If asked to choose between being loved and being respected, your husband would rather be respected than be loved. In fact...
Habari wanajf, mimi naishi Dar, umri wangu 24,
ninahitaji girlfriend alie serious katika uhusiano,dini yoyote,kabila lolote,kama upo mwenye vigezo piga 0714702720
Nimekuwa katika kipindi cha muda mrefu hapa Songea yapata miezi 4. nikipambana na life la hapa.
Kama mnavyofahamu kabisa kijana lijari sometimes ni vigumu kivumilia hali ya upweke. nika jipanga...
Unajijua kabisa kama wewe ni mume wa mtu, unadate mchepuko hadi kuupangia chumba/nyumba, ukitoka huko ukija unakaa kidogo kisha unarudi kwako mkavuu! Huyu unamwacha nanani usiku mzima hali anajua...
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa...