Nahitaji mke mtarajiwa

Nahitaji mke mtarajiwa

ELIFURAHA MAKOMBE

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
176
Reaction score
22
Habari za asubuhi ndugu zangu,ni muda mrefu nakuwa nkitumia huu mtandao but ombi langu bado halija fanikiwa,Ila mim n mwanaume wa 27 yrs,mrefu na mweusi wa maji ya kunde,elimu ya chuo kikuu.

Ombi langu n kupata msichana wakuanzanae mahusiano kwa dhamira ya kuja kuwa baba na mama if GOD wishes.

Ni vizuri akiwa na umri from 18-25,mrefu kiasi,mweupe au maji ya kunde,elimu ya form 4 nakuendelea,kabila lolote kikubwa akubali mila zetu za kichaga na dini yngu ya kikristo.

Mim npo dar maeneo ya mbagala kuu,contact 0715 406010,email elly.makombe@gmail.com.
 
Urefu na elimu hata sisi tunavyo, tangaza assets mchumba....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom