Jeanclaude
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 259
- 238
Wana MMU, wanawake kwa wanaume naombeni msaada. Ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini? Rafiki yangu wa kike anayeishi Moshi ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?
Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.
Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.