Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Hakopesheki tena, ndani kabaki na godoro shuka mto na nguo chache, anatembea na ufunguo wa vx v8, anadaiwa na wapangaji wote, mwenye nyumba, mangi dukani, barmaid, bodaboda, changudoa 3, muuza maji, gengeni, bili ya umeme, tigo niwezeshe.list ni ndefu juzi kakosa nauli ya tabaka kachukua gari ya majitaka kaenda nao mpaka tabata kashukia mtaa wa pili kawaacha jamaa