Nawapenda wana jf wote ila kuna jamaa alikuwa mkorofi lakin nmefurahi baada ya kuadabishwa na jf si mwingne ni Mgirik pumzika na ban yako baba utatukuta na furaha yetu sisi.
Evelyn Salt mi mwenyewe nimebaki mdomo wazi eti mgiriki ni mtu poa sana sijui ban kaipataje,na huyu mleta maada naona ana lake jambo kashindwa kuwataja wenye matatizo humu ndani akina Abolsignathus na akina benteke akamtaje mgiriki wa watu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.