mandinka
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 186
- 38
1. Usiolewe kwa sababu umechoka kukaa kwenu, kwenu sio mahabusu kama umechokaa kukaa kwenu kakae kwa jirani.
2. Usiolewe kwa sababu umri umeenda, umri ni tarakimu tu hizo.
3. Usiolewe kwa sababubu umechoka kufanya kazi za nyumbani, kazi za nyumbani zinakufanya kuongeza CV pindi unakuwa kwenye ndoa yako.
4. Usiolewe kwa sababu ya kutamani kuvaa shela, shela ni vazi la kawaida unaweza ukanunua na ukavaa kwa muda wako.
5. Usiolewa kwa sababu ya umeona matangazo ya waoaji jf, waoaji wa jf wanafanya mazoezi utaumia.
6. Usiolewa kwa kutamani ndoa za wenzio, ndoa ni si lele mama lazima uwe na ufahamu wa (Bodmas)
Zingine baadae ngoja nikapate breakfast kwanza.