"Throw the bucket where you are"....

"Throw the bucket where you are"....

SuperSami

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
30
Reaction score
3
Nianze kwa kutoa kisa cha kweli then niwashauri wanaotafuta wachumba.
Siku moja jeshi la Uingereza lilikuwa kazini baharini na wakaishiwa maji ya kunywa. Mkuu wa kikosi akapiga simu nchi kavu ili watumiwe maji toka bara kupeleka huko baharini. Lakini jibu aliloambiwa ni hili "Throw the bucket where you are and fetch water!"

Kwenu ninyi mnaotafuta wachumba naomba niwaambie throw the bucket where you are and fetch water. Hapo ulipo ndipo alipo mchumba wako! Labda upo kazini, kanisani au mtaani, chuoni au ugenini. Chukua mda kuchagua hapo ulipo ndipo yupo! Ni vigumu kipata kupitia mitandao ya kijamii! Kwani kuna watu wajifanya wa kike kumbe wa kiume au wa kiume kumbe wa kike! Utashangaa mfano Evelyn Salt kukuta kumbe ni wa kiume na watu ndo wanamfukuzia ile mbaya hapa jukwaani (natania tu).
So huo ndo ushauri wangu kwamba hapo ulipo wa kwako yupo usihangaike kwenda mkoa wa mbali.
 
Wengine tunapoishi tuna record chafu sana kiasi ambacho hata mgeni akihamia mtaani anaambiwa kaa mbali na yule..
 
Asante kwa ushauuri... Ila mi wangu nimempata humu humu..!
 
Ujumbe mzuri ila wengine tulipozaliwa ndo tunapozeekea hivyo inahitaji moyo sana kuchotea hapa hapa tulipo
 
Back
Top Bottom