Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.
 
Wasubirie tu wanakuja wanamalizia ya mwisho kwenye raundi ila ujiandae kisaikolojia.
 
1.wajuaji
we unapenda mbumbumbu?

2.wajivuni
Kwani wanajivunia chako?

3.wapenda starehe na anasa
vipi, hauna pesa ya kuafford?

4.michepuko
we haujui njia kuu yako ni mchepuko wa jirani yako, nenda nyumbani kimyakimya sasa hivi kama utamkuta mkeo.

Maneno ya mkosaji, nenda kajaribu bahati yako facebook.
 
Dada hizo ndo tabia za wengi humu.
 
The folly of this grotesque overgeneralization lies not only in its blatant and wanton disregard for accuracy and monstrous lack of respect for exactitude, but also its shameless, divisive, ignoble, misogynous mischaracterization, and indeed character assassination of a most malicious caliber.

It is incumbent upon all harmony loving members of this esteemed forum to repudiate such a ghastly and ghoulish attack on common sense with the strongest terms, emphatically, categorically and without reservations.

Those of us with the slightest inkling of respect for fellow members of this forum of the opposite sex wish to apologize for this cavalier and cowardly conduct that obviously exhibits suffering from a severe lack of the very basic of home training.

I remain.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.

Cc : Invisible
 
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

cc dinazade
 
Dada hizo ndo tabia za wengi humu.

mimi nina wake wawili humu hawana maneno kabisaa, sasa hivi natafuta wa tatu naona mambo yanakwenda vizuri. viwango vinatofautiana mkuu, humu hauwezi kudate na mtu aache kazi zake unampick kwa baiskeli ikifika mlimani unamwambia ashuke akusukume, mkifika bar akiagiza kitu unauliza "kwanza kinauzwa bei gani!!?"
 
Hahaaa! Unachekesha kweli yaani wewe unadhani maisha ya watu wa Jf ni halisi?
Ingekuwa hivyo basi Tz ingekuwa kama Ulaya.
Maana maisha ya watu wa Jf ni mazuri zaidi ya uhalisia wa Mtanzania.
 
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

wee tupo pamoja namimi kabsaaaaaaa yani nakuunga kuanzia mkono kichwa masikio miguu macho na vinginevyo!! sema mimi nazungumzia wanaume sina imani nao kabisaaa bora mchoma mkaa wang siku zote yupo maporini kwanza hajui yanayoendelea ulimwenguni!! so ngoma droo hapa
 
Hahaaa! Unachekesha kweli yaani wewe unadhani maisha ya watu wa Jf ni halisi?
Ingekuwa hivyo basi Tz ingekuwa kama Ulaya.
Maana maisha ya watu wa Jf ni mazuri zaidi ya uhalisia wa Mtanzania.

Kweli mkuu sijawahi ona masikini humu wote wana kazi nyumba na magari.
 
Back
Top Bottom