Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao. Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wanajf Mimi ni kijana nina miaka 20 ni mwanachuo katika chuo fulani Tatizo langu ni kwamba kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana hapa chuoni ila tatizo linakuja kuwa kanizidi miaka miwili...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nilikuwa na rafiki yangu jioni alinipigia simu niende kwani alikuwa amegombana na mke wake. Huyo mkewe akaondoka akamuacha na mtoto wa miezi 3 mpaka saa 3 usiku bado huyo mkewe hajarudi tokea...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Unapokuwa na mpenzi wako mbele za watu either sokoni, barabarani,hotelini,club,beach nk huku ukionyesha mahaba kwa kumbembeleza na kumdekeza kama mtoto mdogo je,ni ishara ya u-gentleman au ni...
2 Reactions
96 Replies
19K Views
Wasalaam Sina tatizo nao ila nadhani nawaonea huruma, watakuwa na tatizo kubwa kisaikolojia... humu MMU wapo siwataji majina ila mmoja nakumbuka kisa chake alijizushia amepata ajali kwa ID yake...
7 Reactions
127 Replies
8K Views
Habari wana JF Kilichonileta hapa asubuhi yote hii ni kuhusu huyu mwanamke kwa sababu mimi hata simuelewi mimi niko kwenye mahusiano na wanawake 4 tofauti samahani kama nitakua nimekuudhi kwa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu, Ningependa kuanza kwa kutoa ka'stori haka kafupi... Hivi sasa nipo nje ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli mbili tatu. Nipo katika Mkoa fulani ambao nisingependa...
6 Reactions
86 Replies
20K Views
Tangu wafunge ndoa ni takrabini miaka mitatu sasa. Mwanamke 'katelekezwa' Dar na mwanaume anafanya kazi mkoa. Huyu bi dada ni mrembo hatari, rangi ndo ile ya mtume. Sasa nashindwa kumwelewa huyu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza inakuaje msichana kutafuta mume kwenye social media? Tatizo linakuwa ninini hasa? Je mlikuwa mnachagua sana? Mnasura mbaya? Umri umewatupa? Yani huwa naogopa mtoto wa kike...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Nmeikuta Mahali jaman...nmecheka hatar😂😂😂 ila wanaume🤣🤣🤣🙌 Simulizi habar kuna mtoto nilizaaga nje nina uhakika wife hajui kama nilizaaga nikawa natunza kwa siri. Sasa nilisafiri na mtoto na mama...
27 Reactions
111 Replies
4K Views
Ukitaka kujua yanayofanyika mle ndani unaweza kunywa sumu kama una wivu tuanze na barber shop after kunyolewa kuna chumba maalum kwa ajili ya kuoshwa sasa kuna mabinti hujichetua kaka hufanyi...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Kumekuwa na trend ya wanaume kulalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanaoomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!! Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo...
26 Reactions
293 Replies
27K Views
Wakuu, Maisha yanataka kuumiza kichwa hasa nyakati hizi za JPM vinginevyo utaishia kulialia tu kila siku. Sasa, naomba wanawake wanne majasiri wajitokeze tutengeneze movie moja matata sana...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Binafc nakumbuka wakati na soma shule fulan maeneo ya Tabora kulikua na msichana mmoja jina kapuni anaweza kua yumo humu jf u kweli nilikua nampenda saanà na zaidi ya yoote nilishindwa kabisaaa...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi mgeni hapa. Tatizo langu ni mpenzi wangu kupenda kulia kila akiniona. Je hii ni kawaida?
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Jamani wana JF nimekuja hapa kwenu kuwaeleza hili swala na pia kuomba ushauri wenu kutokana na hili sakata lililonikuta la kusalitiwa na mpenzi wangu. Jana usiku wakati nikiwa nafanya kazi zangu...
3 Reactions
207 Replies
22K Views
Wanajukwaa, wife kaniwekea mitego kila kona, kuanzia kwenye simu hadi kwenye makampuni ya simu, katika mitandao na kila sehemu. Ukitoka tu nyuma unafatiliwa, sina pa kupumulia. Kila unalofanya...
14 Reactions
287 Replies
26K Views
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu. Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya...
17 Reactions
93 Replies
9K Views
Habarini Wadau, Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele? Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo...
7 Reactions
162 Replies
18K Views
Back
Top Bottom