nyudo
Member
- Dec 13, 2016
- 14
- 2
Habari wanajf
Mimi ni kijana nina miaka 20 ni mwanachuo katika chuo fulani
Tatizo langu ni kwamba kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana hapa chuoni ila tatizo linakuja kuwa kanizidi miaka miwili na kwa upande wake yeye amenikataa kwa sababu hiyo tu
Ila anadai angenipenda kama ningelingana nae ama kumzidi kidogo
Naombeni ushauri wakuu niendelee ama niachane nae ila kiukweli nampenda sana.