Habar wakuu..
Mapenz ya zama za zamani yalikuwa mazuri mnoo mana ilikuwa sio rahisi kukutana na meseji za vizinga vya ovyo ovyo mpk inafikia stage mwanaume unaona ngoja nimpatie chochote kitu...
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa.
Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message...
Wakuu huyu mdada sijui anaitwa Sanchi, ameamsha mishipa yangu ya fahamu vilivyo ...Aliye na mawasiliano yake aniPm nimfanyie booking ya tiketi aje tufurahishane huku kwa mfalme Mswati kwa gharama...
Habari wana JF.
Je kusherekea siku ya kuzaliwa ni kosa?
Nakumbuka nikiwa na umri wa miaka 9 niliwahi kumwambia mshua(Father) kuhusu kusherekea siku ya kuzaliwa nilichokumbana nacho sitokisahau...
Hapa nimebaki na elfu 10 tu mfukoni alafu bado sijala. Hi ni baada ya kupigiwa simu kuwa anahitaji kusuka lakini hana pesa. Mwanaume nikajikaza kiume nikatoa 50 huku nikijua nitarudiwa chenchi...
Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha
Hata kama ni mke wako huna cha...
Habari za muda huu,
Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.
Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year...
Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini...
Wakuu,
Yamenitokea
Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia
Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa...
Vijana tumieni akili
Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana
SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30
achana na oldest women
Nilivyokua mdogo kuna vitu nilikua sivijui na naona kawaida wala sijali najali kucheza na kula na vingine vya kitoto
Sasa nimekua nimekutana na changamoto nyingi mpaka sasa hapa nilipo nashukuru...
Natumaini mko poa kabisa,
Kuna binti nimempenda yupo anaishi na dada yake nilishamshauri tuishi pamoja akawa hataki maana yupo anakaa kwa dada yake
Sasa jana wamegombana na dada yake ndio...
Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara...
Bila kujali upo kwenye ndoa, uchumba,au mahusiano ujumbe huu unakwenda kukusaidia kukabiliana na migogoro ya kimapenzi ndani ya familia ambayo inaweza kusababishwa na Mwanamke ambaye hapendeki...
Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe.
Je utajisemesha tu mambo...
Salaam wanajamvi
Mimi ni kijana degree holder nimetoka kwenye mahafari hivi juzi tu. Nimefika kwa bibi yangu mzaa baba yangu mlezi (step father) nimemkuta shangazi yangu yaani ni binamu wa baba...
Baada ya kumfumania mme wangu tarehe 8 Nov 16 PR Hotel uwanja wa taifa na tarehe 12 Nov The Target; nilifanikiwa kumrekodi kwa simu bila yeye kujua akimwambia dada yake kuwa mimi namwekea boda...
Habarini wadau,
Leo asubuhi niliamka nikiwa na mood mbaya ila wakati nakunywa chai nikajikuta naanza kucheka sana na kila nikikumbuka najikuta nacheka tu hata kimoyoni.
Ni hivi nina kaka yangu...
Kila nikirudi home huwa naenda bafuni nachukua kufuli la wife alilolivua baada ya kutoka kazini navaa pensi naenda nalo bar wakati nakunywa bia nakua nanusa ile sehemu inayofunika uke. Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.