Tafadhali wanawake msiwe mnanyoa Kabisa, Mnajidhalilisha

Tafadhali wanawake msiwe mnanyoa Kabisa, Mnajidhalilisha

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,837
Habarini Wadau,

Kuna jambo linaumiza sana. Hivi kwanini Wanawake mnapenda kuzinyoa zile nywele?

Ili iweje labda? Kama mwanamke anajiheshimu na kujitambua hawezi kukubali kunyoa hovyo hovyo mpaka anabakia kipara kama mtoto mdogo asiyevunja ungo bado.

Kwakweli inapendeza sana mkiziacha ziwe nyingi na kustawi ziwezavyo. Kwani hakuna chana madukani?

Mimi za mke wangu ikifika Christmas zinatimiza miaka miwili sasa na miezi minne hadi raha.

Nimemwambia siku akizinyoa nampa na talaka hapo hapo Wallah billah,

Yaani inaleta raha sanaaa wakati wa kuzifunua kwa mikono miwili ndio ukute kile kidude.

Kunyoa ni kiherehere na kuigaiga ujinga. Eti mnajidai usafi...kwani huwezi kufanya usafi zikiwa refuuuu haswa.

Tafadhali wanawake msinyoe.

Msitake laana.

Please n Please.

Heri ya Christmas,
 
Hongera! Sasa tupia bac kapicha ka mkeo tujifunze kwa mtini!
2016-12-17-13-42-27--1881599178.jpeg


Hapo akionesha madoidoz
 
Kama mke wako hanyoi naimani ndo furaha yako kwa nini wengine unawashauri wanyoe wakati hawana athari yoyote kwako
Kwanza nimewashauri wasinyoe sio wanyoe

Halafu sasa utamtofautishaje na vitoto?

Mkuu zile nywele zikiwa nyingi pia zina raha yake ati.
 
Sasa utamtofautishaje na vitoto?

Mkuu zile nywele zikiwa nyingi pia zina raha yake ati.
kuna siki uliwahi kupost ujinga humu nikakwambia avatar yako na matendo unayoyaandika humu vinasadifu uko vipi?
 
kuna siki uliwahi kupost ujinga humu nikakwambia avatar yako na matendo unayoyaandika humu vinasadifu uko vipi?
Ilikuwa siku gani?

Unaikumbuka na tarehe yake?

Acha uongo na uzushi.
 
Back
Top Bottom