Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari ndugu yangu. Bila shaka upo salama kabisa na Afya tele . Pole kwa misukosuko ya hapa na pale katika kulisaka tonge 🙏 Waungwana maisha ni safari ndefu ila sio kwa Kila mtu inakuwaga ndefu...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za siku mingi wanajamvi, Ninamuda mrefu nimepotea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza funguliwa mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Unaogopa nini ? Umemmiss mtu? - Mpigie simu. Unataka kukutana na mtu? - Mualike. Unataka kueleweka? - Jieleze. Una maswali? - Uliza. Hupendi kitu? - Sema. Unapenda kitu? - Sema. Hujaelewa...
20 Reactions
69 Replies
2K Views
Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya...
123 Reactions
429 Replies
23K Views
kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli ..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote...
3 Reactions
134 Replies
21K Views
Habari za weekend wanaMMU NI hivi. Mwaka 2015 nilianza mahusiano na single maza mmoja hapa mkoani. Wakati huo alikuwa anafanya kazi kama mpishi kwenye mgahawa mmoja. Japo alikuwa single maza umri...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama. Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa Aisee... Nipeni shule hapo...
3 Reactions
70 Replies
10K Views
Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana...
87 Reactions
1K Replies
83K Views
Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika...
19 Reactions
147 Replies
13K Views
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji. Amesema...... "Kupishana katika ndoa ni kitu cha...
22 Reactions
204 Replies
15K Views
Naomba kama Mama watoto mmemfanya kuwa mods kisiri siri...tujue...haiwezekani kabisa... Kila uzi wa kutangaza nafasi miongoni mwa nafasi 3 za zilizobaki za kuitwa MKE na mimi...ninatangaza nafasi...
0 Reactions
7 Replies
872 Views
Wakuu habar bila poteza muda, mada/ uzi huu nime target kwa wanaume tu wanawake piteni mbali kabisa. Kwa miaka ya sasa kipi kianze hapo ndoa au mimba?? Uzi tayari
4 Reactions
159 Replies
12K Views
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini 1.Wanatumia muda wa break fast 2.Muda wa lunch 3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani 3.Akifika nyumbani...
13 Reactions
197 Replies
17K Views
Habar wakuu.. Mapenz ya zama za zamani yalikuwa mazuri mnoo mana ilikuwa sio rahisi kukutana na meseji za vizinga vya ovyo ovyo mpk inafikia stage mwanaume unaona ngoja nimpatie chochote kitu...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna mdada ninae takribani mwaka wa tatu huu, kikukweli mimi ndo nilimtoa usichana wake na nilimuaidi kumuoa. Niliogopa sana kuacha kumuoa maana niliisi ni dhambi, ila kaishia la saba ata message...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu huyu mdada sijui anaitwa Sanchi, ameamsha mishipa yangu ya fahamu vilivyo ...Aliye na mawasiliano yake aniPm nimfanyie booking ya tiketi aje tufurahishane huku kwa mfalme Mswati kwa gharama...
3 Reactions
98 Replies
14K Views
Back
Top Bottom