Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Tangu wafunge ndoa ni takrabini miaka mitatu sasa. Mwanamke 'katelekezwa' Dar na mwanaume anafanya kazi mkoa.
Huyu bi dada ni mrembo hatari, rangi ndo ile ya mtume. Sasa nashindwa kumwelewa huyu mwanaume tangu aoe, ni miaka mitatu sasa yeye hajafanya juhudi zozote za kuiunganisha familia aidha yeye kuhamia Dar au kumuhamishia mkewe mkoani...
Sasa natumia ukurasa huu wa JF kumpa ultimatum popote alipo. Tukianza kumsaidia majukumu ya 'kumlea' mkewe, asituone wanaume wa Dar kuwa ni wabaya... Sisi wanaume wa Dar ni wanaume wawajibikaji, so hakuna namna tutaacha kumsaidia mtu asiyewajibika.