Huyu mwnamke mbona simuelewi??

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
470
500
Habari wana JF

Kilichonileta hapa asubuhi yote hii ni kuhusu huyu mwanamke kwa sababu mimi hata simuelewi
mimi niko kwenye mahusiano na wanawake 4 tofauti samahani kama nitakua nimekuudhi kwa hili kwa sababu sina namna imenibidi niwe nao tuu.

Sasa kuna huyu mmoja yaani simuelewi hata kidogo akituma text usipojibu kwa wakati analeta shidaa ananitukana sana mimi wala simjibu badae anakuja kunipigia cm kuniomba radhi amekosea namsamehe.Ila nikimuomba tuu game wala habishi anakubali mara moja kwa hili hana usumbufu kabisaa sasa juzi kanitukana sana nikamkaushia sijamjibu text hata moja kapiga cm sijapkea katumia namba ya marafiki zake sijapokea nikamtumia text nikamuambia "from today i dont need you in my life we breakup".Baada ya kuisoma hyoo text kaipiga cm sana sijapokea siku mbili sipokei Cm zake na wala sijibu text.

Wakuu eti anadai ananipenda sana hivi kweli mwanamke anayekupenda anaweza kukutukana matusi mazito? mpaka now sijapokea cm zake wala kumjibu text zake coz nimemchokaa. je ananipendaa?? na mbona wenzake hawapo kama yeye??
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,006
2,000
Kwenye akaunti ya Mpesa una elfu 15 tu lkn una wanawake wa 4
Wonders shall never end in Tanzania
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,891
2,000
Habari wana JF

Kilichonileta hapa asubuhi yote hii ni kuhusu huyu mwanamke kwa sababu mimi hata simuelewi
mimi niko kwenye mahusiano na wanawake 4 tofauti samahani kama nitakua nimekuudhi kwa hili kwa sababu sina namna imenibidi niwe nao tuu.

Sasa kuna huyu mmoja yaani simuelewi hata kidogo akituma text usipojibu kwa wakati analeta shidaa ananitukana sana mimi wala simjibu badae anakuja kunipigia cm kuniomba radhi amekosea namsamehe.Ila nikimuomba tuu game wala habishi anakubali mara moja kwa hili hana usumbufu kabisaa sasa juzi kanitukana sana nikamkaushia sijamjibu text hata moja kapiga cm sijapkea katumia namba ya marafiki zake sijapokea nikamtumia text nikamuambia "from today i dont need you in my life we breakup".Baada ya kuisoma hyoo text kaipiga cm sana sijapokea siku mbili sipokei Cm zake na wala sijibu text.

Wakuu eti anadai ananipenda sana hivi kweli mwanamke anayekupenda anaweza kukutukana matusi mazito? mpaka now sijapokea cm zake wala kumjibu text zake coz nimemchokaa. je ananipendaa?? na mbona wenzake hawapo kama yeye??
achana nae bwana ulisha mgegeda inatosha. na wewe unaombaje msamaa kwa kuwa na wanawake wanne, ndio waliwekwa hapo for us men kuwagegeda wewe nae unaomba msamaha tena. sii umeona mambo yenyewe, ungekuwa na mmoja kisirani kama huyo sii presha, lakini ah una mute huku unagegeda kule. enjoy brother.
 
Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,541
2,000
Si unao watatu au, hata yeye amebaki na watatu ila hao watatu wengine wanao wanne.
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
ukweli anakupenda sema pia anawivu kupitiliza .. sababu unawatatu wamebaki baki nao hao hao ... tumia condom mkuu
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,956
2,000
Hiyo english baba haina ukali wa maneno ndo maana hakuelewi,ungetumia tu kiswahili.
 
sandraeli

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
1,435
2,000
Ina mana unampenda mpk unakuja kuomba ushauri huku....kwaio mrudie tu acha kelele ukatukanwe vizur kama unashindwa fanya maamuz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom