lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Habari zenu,
Ningependa kuanza kwa kutoa ka'stori haka kafupi...
Hivi sasa nipo nje ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli mbili tatu. Nipo katika Mkoa fulani ambao nisingependa Kuutaja humu.
Baada ya kufika katika huu mkoa nimeona si vibaya nikajiopolea Ka' demu ili niwe nafurahi naye kwa kipindi niko huku...
(Ikumbukwe sijaoa).
Katika mishe zangu nikiwa njiani kuelekea home (Kwenye basi) nika m'spot mtoto mzuri akiwa amekaa upande wa pili wa siti... Ikanibidi niamue kushuka pale atapo shuka. Kwa bahati nzuri alishuka kituo kimoja baada ya Kituo ninachoshuka..
Hivyo nikamsimamisha na tukaongea mengi na hata ku_exchange contacts.
Baada ya siku 3 hivi.. Nikaamua kumuita ghetto yule demu, ili nijimenyee mzigo. Basi demu akafika pale majira ya saa 4 asubuhi. Kama ilivyo ada, Tukaongea sana baada ya Masaa machache hivi tukaanza Kugegedana.
Ila chakushangaza zaidi ni kwamba (Licha ya yeye pia kuonyesha hali ya kufurahia mgegedo) haku kawia kuanza kusema tuchange staili... Nikiwanadhani kuwa labda staili fulani inamchosha ila hata kama tukibadili, pia hakawii kusema tubadili staili nyingine kwa sababu ile imemchosha..
Licha ya hivyo vituko, cha kushangaza zaidi ni kwamba mkiwa katika mgegedo mzuri (The point where everyone is crazy) ndipo anapoanza kusema kwamba amechoka na anahitaji kupumzika....
Hivyo basi mnaweza kupumzika ila Mkianza tena basi, hakawii na vituko vilevile vya "tu_change staili na tupumzike"... Sijawahi hata siku moja kukutana na Mwanamke anayekuambia kwamba amechoka na anahitaji mpumzike ili hali mko katika hali ya juu kabisa ya mgegedoni.
Hivi huku kuchoka kwa Mwanamke ili hali akiwa katika highest point of happiness during mgegedoni ipo kwa wengine au ni huyu tu? . Maana inashangaza sana. Unakuwa katika mpango wa kumfikisha barafuni ila anakwambia kuwa mpumzike. Na kila mnapoa pumzika mara kwa mara na mzuka wa kumfikisha anapostaili unapotea kabisa, na mwisho wa siku naamua kufika mimi peke yangu...
Na anapo rudi kwake, hunitumia sms kuwa "Alifurahia sana mgegedo".
Hii kitu imekuwa ikiendelea mara kwa mara. Ukizingatia mpaka sasa nimekula mzigo si chini ya mara nne sasa.