Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Wakuu,
Maisha yanataka kuumiza kichwa hasa nyakati hizi za JPM vinginevyo utaishia kulialia tu kila siku.
Sasa, naomba wanawake wanne majasiri wajitokeze tutengeneze movie moja matata sana.
Movie yenyewe itakuwa hivi (pls, soma script, elewa scrip, ishi script):
1. Tunakubaliana kwenda kufunga ndoa, mimi mme wenu, nyie ni wake zangu, mko 4;
2. Tunaandikiana MoU kuwa tutafunga ndoa kwa kufuata taratibu zote, lakini mara baada ya ndoa kufungwa na watu kusherehekea ukumbini, tunaivunja ndoa ghafla (mfano unazuka ugomvi juu yetu usiokuwa na kichwa wala miguu, na ndoa inaishia hapo)
3. Watakaojua hii ndoa ni mzaha, ni mimi na wake zangu feki, mchungaji (mfano Lusekelo) au sheik yeyote atafungisha akiamini ni kitu real, participants na watu wengine wote waalikwa na wasioalikwa ambao watashuhudia pia wataamini ni real.
NB:
MoU ni muhimu ili msije kuniruka na kung'ang'ania kuwa nimewao kweli.