Ushauri: Wanawake tulieni kwenye ndoa

Ushauri: Wanawake tulieni kwenye ndoa

Blessed Jr

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
134
Reaction score
236
Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao.

Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti hajawahi kuridhishwa na mume wake.

Acheni hizo, ziheshimuni ndoa zenu bana.
 
Wakati mwingine nje ya ndoa kuna ndoa bora zaidi .
Lakini pia "Upo uwezekano kero mpya kuwa jibu la kero ya zamani".
 
Tatizo ni mama mwenye miaka 41 kutoka na kijana wa miaka 29
 
Tena wanavoshindana na Bint zao kutongoza Vijana acha tuwa gedede Tu no Way Hisia ni kitu kingine na wakubwa raha mana hamusumbuani
 
Tuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.
Sisi wamasai hatushindwi shughuli tukifika middle age... Trust me... labda ukinai kukojozwa tu baas..😉 😉
 
Kumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao.

Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti hajawahi kuridhishwa na mume wake.

Acheni hizo, ziheshimuni ndoa zenu bana.
Wanaume tulieni kwenye ndoa zenu maana nyie ndo nambari one kutoka nje ya ndoa
 
IMG_20161214_192653_855.JPG
Wakati mwingine nje ya ndoa kuna ndoa bora zaidi .
Lakini pia "Upo uwezekano kero mpya kuwa jibu la kero ya zamani".
 
Kuna maza mmoja naona ananiletea kbs hapa mtaani.

Natamani angekuwa binti mdogo
 
Ukweli ni kwamba hamna anaejua kinachomsukuma mtu mzima kutoka nje ya ndoa yake, ni ngumu sana kumuelewa awe mwanamke au mwanaume na chanzo kinakuwa kipo kwa mmoja wao na suluhisho lipo mikononi mwao ila inaposhindikana ndo hutokea hayo sasa kujiona uko sahihi kuzini ila tunajipaka mafuta kwa Mgongo wa chupa
 
Back
Top Bottom