Watafuta kuthaminiwa (Attention seekers)

akazuba

JF-Expert Member
May 16, 2014
535
500
Wasalaam

Sina tatizo nao ila nadhani nawaonea huruma, watakuwa na tatizo kubwa kisaikolojia... humu MMU wapo siwataji majina ila mmoja nakumbuka kisa chake alijizushia amepata ajali kwa ID yake nyingine.. anazo kadhaa tulio kuwa karibu yake tunaufahamu mwandiko wake

Baada ya habari ile nikaingia pm kuthibitisha majibu niliyopewa nibaki mmmh.... ki ukweli taarifa ile ilinishitua sana

Sio kila member anaetolewa taarifa ya janga kumkuta ni kitu halisi vingine hukuzwa sana.. mi sijafurahia kwa kweli, wenye tabia hii achani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom