Yaani siku kumi na moja kabla ya mwisho wa mwezi huwa nazipendaga sana......Maana kila sms ikiingia ni, baby I love you, nikigeuka kwingine, you know I miss you sana......mwingine, Ben usisahau...
Wana JF; kuna jamaa yangu mmoja aliamua kumtoa out rafiki yake wa muda mrefu kwenda kupata moja moto moja baridi baada ya rafiki yakwe kumweleza kuwa amefulia!!
Walipofika baa walianza kugida...
Why do guys (ones with
girlfriends) have porn and pictures of naked
women on their phones?
Please help Ingrid understand whats the deal
with porn and pictures of naked women?
Love
I love you not because of who you are, but
because of who I am when I am with you.
No man or woman is worth your tears, and
the one who is, won't make you cry.
Just...
Tukishindwa jibu I resort to the internet for answers.
Scenario:
Mzazi (bibi) anatoka mbali kuja kusalimia binti na familia yake (mume + mtoto). Mume anaweka mkwara akae hotel. Ni sawa?
Kama...
Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua mama yangu anaweza kila kitu,
sikuwahi kuona napungukiwa, ma wala sikujua kuwa zile raha na maisha mazuri aliyokuwa akinipatia alivipata kwa taabu na dhiki nyingi...
Nina dada yangu mtoto wa baba mdogo aliyekuja mjini kureseat Necta ya form 4, alimaliza mwaka jana na kufeli sasa kabeba mimba. Tulizani kuwa ni malaria baba akanipa fedha nimpeleke akapime baada...
Salam Kwenu Wadau,
Mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!! nikaona nami ngoja nikamsuprise baby heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilini mwangu sijui...
Unamuomba outing msichana mnafika sehemu husika, of course itakua ni sehemu mashuhuri na ina watu wengi. Anakuja muhudumu wewe unaagiza kesto light yako baridi.
Zamu ya binti kuagiza anaagiza...
Tulopotosheka tukiwa tumelala kitandani kila mmoja wetu a kitafakari tukio lililoisha tulikaa kimya dakika kama kumi huku tumekumbatiana bila mtu yoyote kuongea kitu Ghafla nikasikia mkono umepita...
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)?
Mama akajibu:- "mwanangu bado una una safari ndefu...
Huwanajiuliza sana kwa nini mwanamme akichapiwa mke/mpenzi wake huwa anaumia sana
tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine mwanamke huwa anachukulia poa tu?
hapa inamaanisha mwanamke...
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za...
Wana MMU nawasalimu.
Kuna watu wana tabia hii ambayo ni hatari sana kwa ndoa za
marafiki wao.
Tabia hii inachochewa na kusababishwa na:
1. Kufananisha watu
2. Kujifanya wewe ni mwanahabari...
Nishemeji yake, toka nitoke na mkewe, lakini jamaa alipata ujasiri wa kumtongoza nakutoka nae kinyumba.
Tena chakusikitisha ni mtoto wa miaka 14 tu.
Ilipokuja kugundulika kua mtoto anaujauzito...
::
Hayo ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu kwa ujumbe mfupi wa sms.Ni maneno ambayo yanatoka kwa mke wa mtu.Rafiki yangu huyu nilipomdadisi kwa undani alikiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke...